Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Spika wa Bunge la Syria azitaka nchi za Ulaya kushirikiana na nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Spika wa Bunge la Syria azitaka nchi za Ulaya kushirikiana na nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Apr 25, 2016 03:36

    Soika wa Bunge la Syria amesisitiza juu ya udharura wa kuweko ushirikiano wa kweli na wa dhati wa nchi za Ulaya na serikali ya nchi hiyo katika vita dhidi ya ugaidi.

  • Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria

    Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria

    Apr 24, 2016 02:59

    Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham lenye mafungamano na mtandao wa kimataifa wa al-Qaeda ameuawa katika hujuma ya bomu iliyolenga ngome za kundi hilo katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel

    Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel

    Apr 21, 2016 10:52

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuundwa mahakama maalumu ya jinai kwa ajili ya kuwapandisha kizimbani Wazayuni kutokana na hatua yao ya kukiuka haki za Wapalestina.

  • Umoja wa Mataifa yazitaka pande zote nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani

    Umoja wa Mataifa yazitaka pande zote nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani

    Apr 20, 2016 09:57

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote hasimu nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani ya Syria ya Geneva Uswisi.

  • Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS

    Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS

    Apr 20, 2016 01:45

    Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria

  • Miqdad: Tutaikomboa miiinuko ya Golan kwa gharama yoyote

    Miqdad: Tutaikomboa miiinuko ya Golan kwa gharama yoyote

    Apr 18, 2016 02:52

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa kwa gharama yoyote ile Syria itaikomboa miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Chama tawala cha Baath chashinda viti vingi uchaguzi wa bunge Syria

    Chama tawala cha Baath chashinda viti vingi uchaguzi wa bunge Syria

    Apr 17, 2016 10:48

    Chama tawala cha Baath kimeshinda aghalabu ya viti katika uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Syria hivi karibuni.

  • Syria yakataa mpango wa kuundwa serikali ya mpito

    Syria yakataa mpango wa kuundwa serikali ya mpito

    Apr 14, 2016 02:25

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema serikali ya Damascus inapinga pendekezo la wapinzani la kuundwa serikali ya mpito nchini humo.

  • Wananchi wa Syria wajitokeza kushiriki uchaguzi wa Bunge

    Wananchi wa Syria wajitokeza kushiriki uchaguzi wa Bunge

    Apr 13, 2016 02:46

    Wananchi wa Syria waliotimiza mashari ya kupiga kura wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura mapema leo, kushiriki uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.

  • Wakimbizi zaidi ya milioni moja warejea makwao nchini Syria

    Wakimbizi zaidi ya milioni moja warejea makwao nchini Syria

    Apr 12, 2016 12:01

    Wakimbizi wa Syria zaidi ya milioni moja wamerejea majumbani mwao baada ya amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS