-
Operesheni za kuikomboa Halab Syria zinaendelea
Apr 10, 2016 10:41Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa, opereseheni za jeshi la nchi hiyo na vikosi vya wananchi dhidi ya magenge ya kigaidi, zingali zinaendelea.
-
Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria
Apr 09, 2016 22:35Tovuti moja ya habari imefichua kuwa Marekani hadi sasa imeshatoa msaada wa tani elfu tatu za silaha kwa magaidi wa Al Qaeda na washirika wao nchini Syria.
-
Mjumbe wa UN kuitembelea Tehran kuhusu mgogoro wa Syria
Apr 08, 2016 03:47Staffan de Mistura mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatazamiwa kuitembelea Iran karibuni hivi.
-
Daesh yaua makumi kwa gesi ya sumu huko Sheikh Maqsood
Apr 08, 2016 00:16Watu wasiopungua 23 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa na magaidi wa kundi la Daesh dhidi ya wapiganaji a Kikurdi wa People's Protection Units (YPG) karibu na mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Kerry aiomba Iran isaidie kuhatimisha vita Syria na Yemen
Apr 07, 2016 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, ameomba msaada wa Iran ili kuhatimisha vita katika nchi za Syria na Yemen.
-
Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria
Apr 05, 2016 02:57Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.
-
Waziri Mkuu wa Syria: Ushirikiano wa Iran na Syria umeimarisha mhimili wa mapambano
Apr 04, 2016 02:55Waziri Mkuu wa Syria amesema kuwa ushirikiano wa pande zote kati ya Iran na Syria umeimarisha mhimili wa muqawama dhidi ya njama za Kizayuni na Marekani katika eneo.
-
Algeria yapokea wakimbizi wa Syria, Libya na Mali
Apr 03, 2016 09:02Gazeti moja linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa Algeria imekuwa mwenyeji wa makumi ya maelfu ya wakimbizi kutoka Syria, Libya na Mali.
-
Katibu MKuu wa UN: Mgogoro wa Syria hautatuki kwa mtutu wa bunduki
Apr 02, 2016 22:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa kutumia nguvu za kijeshi.
-
Kaburi la umati lagunduliwa Palmyra, nchini Syria
Apr 02, 2016 03:22Jeshi la Syria limegundua kaburi la umati ambalo lilikuwa limefukiwa makumi ya watu waliouawa na kundi la kigaidi na kitaifiri la Daesh katika mji uliokombolewa hivi karibuni wa Palmyra.