-
Afisa wa Syria aonya: Yumkini Israel imetuvamia ili kumpindua al-Sharaa
Jul 19, 2025 06:18Afisa mmoja wa Syria amesema Israel imeishambulia Syria kwa kisingizio cha kuwalinda wafuasi wa jamii ya Druze walio wachache huko Suwayda, lakini nia ya hasa ni kupindua serikali ya Syria inayoongozwa na Rais wa mpito, Ahmed al-Sharaa.
-
Kiongozi wa kidini wa Wadruze: Hatutaki 'himaya' ya Israel
Jul 19, 2025 04:54Kiongozi wa kiroho wa kabila la wachache la Druze nchini Lebanon amesema jamii hiyo inapinga ombi la utawala wa Israel la "kuwalinda" walio wachache.
-
Maafisa wa Syria na Israel wanatazamiwa kukutana Baku
Jul 13, 2025 05:48Maafisa wa Syria na Israel wanatazamiwa kukutana mjini Baku ili kujadili "uwepo wa hivi karibuni wa jeshi la Israel nchini Syria.
-
US yaamua kuiondoa Hay-at Tahrir Sham kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Jul 07, 2025 18:09Marekani imetangaza siku ya Jumatatu kuwa inabatilisha uamuzi wake wa huko nyuma kwa kuliondoa kundi la kigaidi la kigeni la Hay'at Tahrir al-Sham (HTS) la Syria kwenye orodha ya makundi ya kigaidi, miezi kadhaa baada ya kundi hilo kuongoza mashambulizi ya kijeshi yaliyoiangusha serikali ya Rais Bashar al Assad.
-
Wanawake wa Kialawi Syria wanatekwa nyara mchana kweupe chini ya utawala wa Tahrir al Sham
Jun 28, 2025 07:47Makumi ya wanawake wa jamii ya Waalawi wametekwa nyara nchini Syria tangu kundi la Hay'at Tahrir al Sham (HTS) lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida lilipochukua madaraka mwezi Disemba mwaka jana.
-
Jolani azidi kujikomba kwa Wazayuni, adai Syria, Israel zina maadui wa pamoja!
Jun 01, 2025 07:08Abu Mohammed al-Jolani, Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria ameliambia gazeti linalohudumia jumuiya ya Wayahudi huko Damascus kwamba, "ukweli ni kwamba, tuna maadui wa pamoja - na tunaweza kuwa na jukumu kubwa katika usalama wa kikanda."
-
Je, uhusiano wa serikali ya Julani na utawala wa Kizayuni unaelekea wapi?
May 31, 2025 03:40Vyanzo vya habari vimetangaza kuwa ujumbe unaohusiana na serikali ya mpito ya Syria umefanya mazungumzo ya siri na viongozi wa utawala haramu wa Israel.
-
Jolani: Hay’at Tahrir al-Sham inafanya mazungumzo na Israel
May 08, 2025 07:04Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria amethibitisha habari ya kuwepo mazungumzo "yasiyo ya moja kwa moja" kati ya utawala huo na utawala wa Israel eti kwa lengo la kuzuia kile alichokiita mripuko usioweza kudhibitiwa wa hali ya mambo, wakati huu ambapo Tel Aviv inaendeleza uchokozi wa kijeshi usiokoma dhidi ya Syria.
-
"Uvamizi wa Israel Syria hautayaacha salama mataifa ya Kiarabu, Kiislamu"
May 05, 2025 02:23Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa, uvamizi wa Israel dhidi ya Syria ni hujuma za dhidi ya mataifa yote ya Kiarabu na Kiislamu hususan Palestina, Lebanon na Syria, na kwamba maeneo mengine ya Kiarabu hayatakuwa salama kutokana na chokochoko hizo na matokeo yake.
-
IRGC yatoa onyo kwa maadui kwamba iko kwenye 'kilele cha utayari wa pande zote' wa kijeshi
Apr 22, 2025 11:14Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa tamko kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 46 wa kuasisiwa kwake kwamba liko kwenye utayari wa kiwango cha juu kabisa cha utekelezaji operesheni za kjeshi, likisisitizia dhamira yake isiyotetereka ya kuilinda Jamhuri ya Kiislamu na kukabiliana na adui yeyote.