-
Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena
Jul 11, 2019 21:55Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria inatazamiwa kuanza mapema mwezi ujao wa Agosti huko Nur-Sultan mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Ujerumani yakataa ombi la Marekani la kutuma askari Syria
Jul 09, 2019 03:48Rais Donald Trump wa Marekani Disemba mwaka 2018 aliwaahidi Wamarekani kwamba ataliondoa jeshi la nchi hiyo huko Syria. Trump alitoa ahadi hiyo katika kile kinachoaminika kuwa ni sehemu ya kutekeleza kampeni yakee ya kubakia ikulu ya White House.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kuungwa mkono oparesheni dhidi ya ugaidi katika mipaka ya Syria
Jul 07, 2019 03:18Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuendelezwa oparsheni za jeshi la ulinzi la nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Russia yaunga mkono njia ya kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria
Jul 05, 2019 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amehimiza kufanyika juhudi zaidi za kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria na kujiepusha na kutumia mabavu.
-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Syria yaushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel Umoja wa Mataifa
Jul 02, 2019 03:14Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja huo ikilaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo na kusema uchokozi huo ni sehemu ya njama za Tel Aviv za kutaka kurefusha mgogoro nchini Syria.
-
Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija
Jun 08, 2019 22:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.
-
Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil awafariji maelfu ya maskini, wakimbizi wa Syria katika harusi yake
Jun 08, 2019 07:37Mchezaji nyota wa klabu ya Arsenal mwenye asili ya Uturuki siku ya Ijumaa alifunga ndoa na barafu wake wa moyo mwenye uraia pacha wa Uturuki na Sweden, Amina Gulche.
-
Spika wa Bunge la Iran: Sera za Saudia na Imarati zitawadhuru siku za usoni
Jun 02, 2019 10:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema sera za Saudi Arabia na Imarati (UAE) zitawadhuru katika siku za usoni.
-
Walid al Mualim: Mzingiro wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya Syria ni aina ya ugaidi
May 30, 2019 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa mzingiro wa kiuchumi wa Marekani na baadhi ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na katika eneo dhidi ya wanachi wa Syria ni aina fulani ya ugaidi.