-
Waziri wa Ulinzi: Jeshi la Syria bado liko Hama
Dec 06, 2024 12:21Waziri wa Ulinzi wa Syria, Luteni Jenerali Ali Mahmoud Abbas, amesema kuwa hali ya mambo katika mji wa Hama imedhibitiwa na kwamba kusonga mbele kwa awali magaidi wa Kitakfiri katika mji huo kulitokana na mbinu za muda za vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo
-
Sisitizo la Araghchi juu ya haja ya kukabiliana na makundi ya kigaidi nchini Syria
Dec 05, 2024 08:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kuweko uratibu wa nchi za kieneo na jibu la haraka la jamii ya kimataifa katika kukabiliana na makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Iravani: Iran itaendelea kuwa imara katika kuiunga mkono Syria
Dec 04, 2024 13:05Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezungumzia machafuko ya karibuni ya magaidi huko Syria na kusisitiza kuwa Tehran itaendelea kuiunga mkono Damascus katika kukabiliana na makundi hayo ya kigaidi.
-
Jeshi la Syria lakomboa maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Hama; magaidi 1,600 waangamizwa
Dec 04, 2024 12:57Jeshi la Syria limeripoti kuwa limesafisha maeneo yote ya mji wa kaskazini wa Hama na kuwafurusha magaidi wa kitakfiri katika maeneo hayyo.
-
Vikosi vya anga vya Syria na Russia vyafanya mashambulio makubwa zaidi tangu kuibuka tena ugaidi
Dec 04, 2024 07:18Jeshi la anga la Syria na la washirika wake wa Russia yamefanya mashambulizi makali zaidi dhidi ya kambi na mikusanyiko ya magaidi hao wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni tangu hujuma za magaidi zilipoibuka upya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria
Dec 03, 2024 12:12Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.
-
Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi
Dec 03, 2024 02:51Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuboresha ushirikiano na Syria ili kuondokana na mgogoro unaoendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya magenge ya kigaidi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi yao ya kikatili.
-
Cuba: Tuko pamoja na wananchi na serikali ya Syria
Dec 02, 2024 12:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametangaza kuwa nchi hiyo inatangaza mshikamano wake na iko pamoja na wananchi na serikali ya Syria kufuatia kushtadi hujuma za karibuni za makundi ya kigaidi katika ardhi ya Syria.
-
Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo
Dec 02, 2024 07:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
-
Jeshi la Syria lajiandaa kufanya mashambulio makali dhidi ya makundi ya kigaidi
Dec 01, 2024 06:39Kamandi Kuu ya Jeshi na Vikosi vya Ulinzi vya Syria imetangaza kuwa nchi hiyo imeshajiweka tayari kufanya mashambulizi makali dhidi ya makundi ya kigaidi.