-
Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani Namibia: Hatutayakubali matokeo ya uchaguzi
Dec 01, 2024 06:13Mgombea mkuu wa urais wa upinzani nchini Namibia, Panduleni Itula, amesema chama chake hakitatambua matokeo ya uchaguzi uliokumbwa na utata wa kuongezewa muda wa upigaji kura na kutawaliwa na fujo na madai ya uchakachuaji.
-
Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN: Miezi 13 ya vita imeifanya Ghaza kuwa jehanamu
Nov 30, 2024 07:09Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa katika ofisi ya Ukanda wa Ghaza (OHCHR) unaokaliwa kwa mabavu Ajith Sunghay amesema miezi 13 ya vita imeufanya Ukanda huo kuwa kama jehanamu, kwani kuna uharibifu usio na kifani, njaa isiyoelezeka, maradhi na mwendelezo wa mashambulizi ya mabomu yanayowatawanya raia kila uchao.
-
Magaidi wa kitakfiri 400 waangamizwa Syria
Nov 29, 2024 07:14Kituo cha Russia cha Hmeimim cha Maridhiano ya Kitaifa nchini Syria kimetangaza kuwa magaidi wa kitakfiri wa 400 wa kundi la Jabhatu-Nusra wameangamizwa baada ya kushambulia makao makuu ya jeshi la Syria huko Idlib na Aleppo.
-
UN yasisitiza kuhitimishwa vita Ukanda wa Gaza na Lebanon
Nov 25, 2024 03:13Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Syria ametaka kuhitimishwa vita katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria
Nov 21, 2024 07:44Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa Palmyra nchini Syria.
-
Araqchi: Ipo nia ya dhati ya kupanua ushirikiano na Syria katika nyanja zote
Nov 20, 2024 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nia ya dhati ya kupanua ushirikiano kati yake na Syria katika nyanja jzote.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tutaendelea kuunga mkono Mhimili wa Muqawama
Nov 18, 2024 07:24Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuuunga mkono Mhimili wa Muqawama, serikali na wananchi wa Syria.
-
Jeshi la Israel laua Wapalestina 14 Ghaza baada ya kuua Walebanon 14 pia Bekaa
Nov 12, 2024 07:51Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendelea kufanya jinai za mauaji ya kinyama katika Ukanda wa Ghaza kwa kuwaua shahidi Wapalestina 14 asubuhi ya leo waliokuwa wamepata hifadhi katika linalodaiwa na utawala huo kuwa ni "eneo salama" huko al-Mawasi.
-
Mashambulizi ya jeshi la Kizayuni dhidi ya Syria
Oct 24, 2024 06:48Ndege za kijeshi za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu miji ya Damascus na Homs.
-
Shambulio la kinyama la Israel katikati ya Beirut laua Walebanon 22 na kuwajeruhi wengine 117
Oct 11, 2024 07:44Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulizi la kinyama la anga katikati mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut nje ya viunga vya kusini mwa mji huo, na kuua watu wasiopungua 22 na kujeruhi wengine wengi.