-
Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr
Oct 21, 2018 19:48Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikiutaka ufanye uchunguzi wa wazi na usiogemea upande wowote juu ya mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya muungano wa kijeshi wa Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Syria yasisitiza kuwa itaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na Iran
Oct 20, 2018 12:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Syria amesema kuwa, kuna haja ya kuondolewa vizuizi vyote hata vidogo vidogo katika juhudi za kuimarisha uhusiano wa pande zote wa kiuchumi baina ya nchi mbili ndugu za Iran na Syria.
-
Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua makumi ya raia Syria
Oct 20, 2018 04:32Kwa akali raia 32 wameuawa katika hujuma mpya ya anga iliyofanywa na ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaongozwa na Marekani katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Jumamosi, 20 Oktoba, 2018
Oct 19, 2018 21:36Leo ni Jumamosi tarehe 10 Mfunguo Tano Safar 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 20 Oktoba 2018 Miladia.
-
Syria kupambana na magaidi wa Furat baada ya ushindi wa Idlib
Oct 15, 2018 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema vikosi vya nchi hiyo vitaelekeza nguvu na mapambano yao dhidi ya ngome za magaidi Mashariki mwa Furat, baada ya kuukomboa mkoa wa Idlib, ulioko magharibi mwa Syria.
-
Russia yataka uchunguzi ufanyike kuhusu muungano wa Marekani kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Syria
Oct 14, 2018 04:19Baada ya kuzuka machafuko na vita vya ndani nchini Syria Marekani imekuwa ikishirikiana kwa karibu na magaidi wa kitakfiri pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu kwa ajili ya kuing'oa madarakani serikali halali ya Rais Bashar al-Asad wa nchi hiyo.
-
Kumbukumbu ya hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein AS; nembo ya umoja wa Waislamu ulimwenguni na mshikamano wa mataifa ya Iran na Iraq
Oct 14, 2018 03:19Viongozi wa makabila yanayohamahama ya maeneo ya kusini mwa Iran na Iraq Ijumaa iliyopita walifanya mkutano katika mji wa Basra uliokuwa na nara inayosema. "Kumpenda Imam Hussein AS, Sababu ya Umoja Wetu".
-
Iran: Suala la kutia dosari ushirikiano wa Syria na shirika la OPCW linapasa kuepukwa
Oct 10, 2018 11:27Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) amezungumzia kuangamizwa silaha za kemikali huko Syria na kusisitiza kuwa suala la kuchafua ushirikiano mkubwa unaotolewa na Damascus kwa shirika hilo linapasa kuepukwa.
-
Mufti wa Syria: Ushindi wa nchi yetu ni ushindi wa Palestina
Oct 06, 2018 11:43Mufti Mkuu wa Syria, Sheikh Ahmad Badreddin Hassoun amesema kuwa ushindi wa Syria dhidi ya ugaidi ni ushindi wa Palestina.
-
Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria
Oct 03, 2018 10:17Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muda si mrefu vita ilivyotwishwa nchi hiyo vitamalizika na nchi hiyo kuwa na nafasi kama iliyokuwa nayo hapo awali katika ulimwengu wa Kiarabu.