Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria

    Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria

    Oct 03, 2018 10:17

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muda si mrefu vita ilivyotwishwa nchi hiyo vitamalizika na nchi hiyo kuwa na nafasi kama iliyokuwa nayo hapo awali katika ulimwengu wa Kiarabu.

  • UN: Wakimbizi 30 elfu wanahitajia misaada ya haraka, mashariki mwa Syria

    UN: Wakimbizi 30 elfu wanahitajia misaada ya haraka, mashariki mwa Syria

    Sep 29, 2018 21:55

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kuna wakimbizi 30 elfu waliokimbia makazi yao mashariki mwa Syria kutokana na mashambulizi ya miezi mitatu iliyopita dhidi ya maeneo ya magaidi wa Daesh (ISIS) mkoani Deir ez-Zor.

  • Iran: Israel itajuta kwa kuwaunga mkono magaidi na kuishambulia Syria

    Iran: Israel itajuta kwa kuwaunga mkono magaidi na kuishambulia Syria

    Sep 27, 2018 12:39

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuzishambulia ngome za jeshi la Syria na waitifaki wake na kusisitiza kuwa, Tel Aviv itakabiliwa na jibu kali iwapo haitasitisha uvamizi wake na kuyaunga mkono makundi ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jinamizi la mfumo wa makombora wa ulinzi wa anga wa S-300 linainyemelea Israel

    Sep 26, 2018 00:36

    Vyombo vya habari vya Israel vimesema uamuzi wa serikali ya Russia wa kulipatia jeshi la Syria mfumo wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-300 ni jinamizi kwa utawala huo wa Kizayuni.

  • Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria

    Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria

    Sep 21, 2018 23:34

    Duru za Iraq zimearifu kuwa Marekani imetuma wanajeshi wake karibu na kivuko cha al Qaim katika mpaka wa Iraq na Syria.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Mashambulizi ya Israel nchini Syria hayavumiliki tena

    Sayyid Hassan Nasrullah: Mashambulizi ya Israel nchini Syria hayavumiliki tena

    Sep 19, 2018 23:22

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria hayavumiliki tena na inabidi yakomeshwe.

  • Russia: Uchokozi wa Israel wa kutuulia watu wetu Syria lazima utajibiwa

    Russia: Uchokozi wa Israel wa kutuulia watu wetu Syria lazima utajibiwa

    Sep 19, 2018 23:16

    Mbali na Rais Vladimir Putin na viongozi wengine mbalimbali wa kiserikali wa Russia kusisitizia wajibu wa kujibiwa mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Syria, mkuu wa akademia ya masuala ya jeopolitiki ya Russia naye ametilia mkazo msimamo huo.

  • Maafikiano ya Sochi na uungaji mkono wa Iran kwa utumizi wa diplomasia kutatua kadhia ya Idlib

    Maafikiano ya Sochi na uungaji mkono wa Iran kwa utumizi wa diplomasia kutatua kadhia ya Idlib

    Sep 19, 2018 09:48

    Makubaliano yaliyofikiwa mjini Sochi kati ya Russia na Uturuki kuhusu kadhia ya eneo la Idlib lililoko kaskazini magharibi mwa Syria baada ya kikao kilichofanyika mjini Tehran kati ya marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki yamekaribishwa na kuungwa mkono na Iran. Maafikiano hayo ni ishara ya mwendelezo wa njia athirifu za kidiplomasia.

  • Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria

    Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria

    Sep 19, 2018 03:22

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema operesheni za anga za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika anga ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka na kujitawala serikali halali ya sasa ya Damascus. Putin amesema hayo huku mgogoro kuhusu ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo Kiarabu ukiendelea kutokota.

  • Russia: IAEA haina ushahidi wowote wa kuitia hatiani Syria

    Russia: IAEA haina ushahidi wowote wa kuitia hatiani Syria

    Sep 17, 2018 23:27

    Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema kuwa, kutoa madai ya uongo kuhusu Syria kunauondolea itibari wakala huo wa atomiki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS