Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania yatangaza kumalizika mlipuko wa Marburg

    Tanzania yatangaza kumalizika mlipuko wa Marburg

    Mar 14, 2025 02:29

    Tanzania jana Alkhamisi ilitangaza mwisho wa mlipuko wa virusi vya Marburg, kwani hakuna kesi yoyote mpya iliyoripotiwa nchini humo katika kipindi cha siku 42.

  • Shura ya Maimamu Tanzania yakaribisha kuachiwa huru Masheikh 12

    Shura ya Maimamu Tanzania yakaribisha kuachiwa huru Masheikh 12

    Mar 05, 2025 13:42

    Shura ya Maimamu Tanzania imepokea kwa mikono miwili uamuzi wa mahakama wa kuwaachia huru Masheikh 12 waliokaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za ugaidi. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Arnold John Kirekiano.

  • Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam

    Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam

    Dec 06, 2024 03:19

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani ya Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.

  • Siku ya Utamaduni wa Washirazi yaadhimishwa nchini Tanzania

    Siku ya Utamaduni wa Washirazi yaadhimishwa nchini Tanzania

    Nov 19, 2024 11:12

    Balozi wa Iran nchini Tanzania ameshiriki katika Siku ya Utamaduni wa Washirazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuzidi kutia nguvu uhusiano wa kiudugu ulipo baina ya Iran na Tanzania.

  • Rais Samia: Tumepoteza wenzetu 13 Kariakoo

    Rais Samia: Tumepoteza wenzetu 13 Kariakoo

    Nov 18, 2024 03:30

    Watu 13 wamethibitika kufariki dunia na wengine 84 kujeruhiwa kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo katika eneo la Kariakoo mkoani Dar es Salaam, iliyotokea juzi Jumamosi Novemba 16.

  • Waislamu wa Tanzania wamkumbuka na kumuenzi Sayyid Hassan Nasrullah

    Waislamu wa Tanzania wamkumbuka na kumuenzi Sayyid Hassan Nasrullah

    Nov 14, 2024 11:27

    Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wamefanya kumbukumbu ya Arubaini ya Sayyid Hassan Nasrullah aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Kikao cha tano cha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Tanzania kimeshirikisha wanawake wengi

    Kikao cha tano cha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Tanzania kimeshirikisha wanawake wengi

    Oct 29, 2024 07:55

    Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na Masuala ya Wanawake na Familia ametangaza kuwa kikao cha tano cha Kamisheni ya pamoja ya Iran na Tanzania kimefanyika kwa kushirikisha wanawake wengi na kwa lengo la kupanua uhusiano wa kiuchumi, kibiashara, kijamii na kiutamaduni kati ya nchi hizo mbili.

  • Jumuiya za kutetea haki za binadamu zataka sakata la kubakwa

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu zataka sakata la kubakwa "binti" huko Tanzania lishughulikiwe ipasavyo

    Aug 10, 2024 07:29

    Mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameendelea kupaza sauti yakitaka hatua za haraka zichukuliwe kuwashughulikia ipasavyo waliohusika na kitendo kiovu cha kumbaka na kumlawili binti mmoja wakidai kuwa wametumwa na "afande" kufanya ukatili huo.

  • Pezeshkian: Maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na Tanzania ni fursa ya kipekee

    Pezeshkian: Maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na Tanzania ni fursa ya kipekee

    Aug 01, 2024 06:43

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na baadhi ya maeneo ya Tanzania hasa Zanzibar, ni fursa nzuri ya kustawishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili.

  • Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani vitendo vya ushoga

    Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani vitendo vya ushoga

    Jun 05, 2024 13:03

    Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania wameendelea kukemea vitendo vya ushoga vinavyooenekana kushamiri katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS