Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Amnesty International: Uamuzi wa Tanzania katika Mahakama ya Afrika utazidisha ukandamizaji

    Amnesty International: Uamuzi wa Tanzania katika Mahakama ya Afrika utazidisha ukandamizaji

    Dec 03, 2019 10:49

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema uamuzi wa Tanzania kujitoa katika kifungu kinachowawezesha raia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuishtaki serikali katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake katika mji wa Arusha unahatarisha ongezeko la ukandamizaji nchini humo.

  • Tundu Lissu: Ninaogopa kurudi Tanzania halafu nipigwe tena risasi

    Tundu Lissu: Ninaogopa kurudi Tanzania halafu nipigwe tena risasi

    Nov 29, 2019 08:59

    Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema kwamba, atarejea nchini humo baada ya  marafiki zake kumhakikishia usalama wake.

  • SAUTI, Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania waja na mpango wa kifurushi uliokosolewa na wanasiasa

    SAUTI, Mfumo wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania waja na mpango wa kifurushi uliokosolewa na wanasiasa

    Nov 28, 2019 13:04

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini Tanzania (NHIF) umekuja na njia ambayo imetajwa kuwa ni suluhisho la wananchi wengi wenye hali ngumu kukosa huduma hiyo.

  • Chama Tawala Tanzania: Kiongozi wa serikali atakayeshirikiana na mashirika ya kimataifa nchini atapoteza kazi

    Chama Tawala Tanzania: Kiongozi wa serikali atakayeshirikiana na mashirika ya kimataifa nchini atapoteza kazi

    Nov 28, 2019 11:22

    Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally  amewaonya mawaziri na watendaji wa chama hicho tawala nchini humo kwa kuwataka waache kushirikiana na asasi na mashirika ya kimataifa yasiyoshirikiana na serikali na kusisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya hivyo basi atapoteza kazi yake.

  • Mvua, radi na mafuriko yaua watu 10 nchini Tanzania

    Mvua, radi na mafuriko yaua watu 10 nchini Tanzania

    Nov 25, 2019 08:53

    Watu tisa wa familia mbili wamefariki dunia katika wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza nchini Tanzania, baada ya nyumba zao kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali duniani.

  • Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wafanyika leo Tanzania ukisusiwa na vyama muhimu vya upinzani

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wafanyika leo Tanzania ukisusiwa na vyama muhimu vya upinzani

    Nov 24, 2019 12:05

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefanyika leo nchini Tanzania ukisusiwa na vyama vingi kikiwemo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA.

  • Watanzania kuwachagua kesho viongozi wa serikali za mtaa katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

    Watanzania kuwachagua kesho viongozi wa serikali za mtaa katika uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

    Nov 23, 2019 13:36

    Kesho Watanzania watawachagua viongozi wa serikali za mitaa katika uchaguzi ambao umesusiwa na vyama muhimu vya upinzani nchini humo.

  • Mahakama  imeakhirisha kwa mara ya nane kusikiliza kesi inayomkabili mwandishi habari Kabendera

    Mahakama imeakhirisha kwa mara ya nane kusikiliza kesi inayomkabili mwandishi habari Kabendera

    Nov 20, 2019 09:49

    Mahakama nchini Tanzania leo imeakhirisha kwa mara ya nane kusikiliza kesi inayomkabili mwandishi habari mashuhuri wa nchi hiyo aliyekamatwa mwezi Julai mwaka huu.

  • Hali ya kisiasa Tanzania kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Hali ya kisiasa Tanzania kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Nov 17, 2019 23:17

    Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania, chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho ndio chama tawala kimetoa taarifa ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.

  • Chama kingine cha siasa Tanzania chajitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM: Haturudi nyuma

    Chama kingine cha siasa Tanzania chajitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM: Haturudi nyuma

    Nov 14, 2019 04:41

    Wimbi la vyama vya siasa nchini Tanzania kujiengua katika uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushuhudiwa baada ya chama cha NLD nacho kuungana na vyama vingine sita vilivyochukua hatua hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS