Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania yasema imeimarisha usimamizi wa matumizi salama ya nyuklia

    Tanzania yasema imeimarisha usimamizi wa matumizi salama ya nyuklia

    Mar 12, 2019 04:31

    Serikali ya Tanzania kupitia Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imefanikiwa kuimarisha usimamizi na udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya nyuklia nchini humo.

  • Tanzania ingali inashuhudia mfumko wa bei za bidhaa+SAUTI

    Tanzania ingali inashuhudia mfumko wa bei za bidhaa+SAUTI

    Mar 10, 2019 13:06

    Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Tanzania, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa bei nchini humo kwa mwaka ulioishia mwezi Februari 2019 umebaki kuwa asilimia 3 kama ilivyokuwa mwaka ulioisha.

  • Tanzania yatakiwa kuangalia upya sheria zinazokandamiza wanawake

    Tanzania yatakiwa kuangalia upya sheria zinazokandamiza wanawake

    Mar 08, 2019 04:28

    Huku Tanzania ikijiunga na nchi nyingine duniani katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa hii leo, serikali ya Dar es Salaam imetakiwa kuangalia upya sera na sheria zinazohusu wanawake ili kuimarisha ustawi wao.

  • Mwenyekiti wa Chadema alipoachiliwa huru kwa dhamana Tanzania + Sauti

    Mwenyekiti wa Chadema alipoachiliwa huru kwa dhamana Tanzania + Sauti

    Mar 07, 2019 15:28

    Nchini Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe, pamoja na Mbunge Esta Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam, na kutakiwa kuripoti mahakamani kwa mwezi mara moja. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam Amar Dachi

  • Rais Magufuli aliambia Jeshi la Polisi kuwa, kuna maswali mengi kuhusu sakata la kutekwa Mohammed Dewji

    Rais Magufuli aliambia Jeshi la Polisi kuwa, kuna maswali mengi kuhusu sakata la kutekwa Mohammed Dewji

    Mar 04, 2019 11:22

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amesema kuwa, suala la kutekwa nyara kwa mfanyabiashara mashuhuri wa nchi hiyo na Afrika, Mohammed Dewji mashuhuri kwa jina ‘Mo’ limeacha maswali mengi kwa wananchi ambayo yanahitaji majibu hivyo jeshi la polisi liwaeleze Watanzania kwani si wajinga sana.

  • Lowassa atangaza kurejea CCM, Tanzania, Sumaye asema hakushangaa

    Lowassa atangaza kurejea CCM, Tanzania, Sumaye asema hakushangaa

    Mar 01, 2019 12:50

    Waziri Mkuu wa zamani nchini Tanzania ambaye alikuwa mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa leo ametangaza uamuzi wa kuhama chama hicho na kurejea chama tawala (CCM).

  • SAUTI, Sheikh Hemed Jalala: Uislamu ndio umemuinua na kumtukuza mwanamke na kamwe haujamuacha nyuma hata kidogo

    SAUTI, Sheikh Hemed Jalala: Uislamu ndio umemuinua na kumtukuza mwanamke na kamwe haujamuacha nyuma hata kidogo

    Feb 27, 2019 12:52

    Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) cha jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala amesema kuwa dini ya Kiislamu haijamtenga wala kumuacha nyuma kwa namna yoyote mwanamke na kwamba ni dini hiyo ndio imempa hadhi kiumbe huyo baada ya kuwa alikuwa duni katika jamii.

  • Taasisi ya al Mustafa Khairiya yaozesha vijana 100 Tanga, Tanzania + Sauti

    Taasisi ya al Mustafa Khairiya yaozesha vijana 100 Tanga, Tanzania + Sauti

    Feb 26, 2019 03:09

    Taasisi ya al Mustafa Khairiya ya jijini Tanga Tanzania imefanya hafla ya kuwaozesha vijana 100 wa Kiislamu katika jitihada za kupunguza maovu kwenye jamii. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Jenerali Ulimwengu: Rais Magufuli ana uthubutu, lakini asikilize anayoambiwa na watu

    Jenerali Ulimwengu: Rais Magufuli ana uthubutu, lakini asikilize anayoambiwa na watu

    Feb 21, 2019 04:33

    Jenerali Ulimwengu, mwandishi mkongwe wa habari na mkosoaji mashuhuri wa serikali nchini Tanzania sambamba na kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amemtaka rais huyo kusikiliza yale anayoambiwa na wananchi.

  • Chadema: Inamaana Tanzania haitachunguza matukio ya Azori na Ben Saanane hadi warudi?

    Chadema: Inamaana Tanzania haitachunguza matukio ya Azori na Ben Saanane hadi warudi?

    Feb 15, 2019 11:15

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) kimeendelea kukosoa takwa la Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo , Kangi Lugola la kutaka Tundu Lissu, mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya chama hicho pamoja na dereva wake walioko nje ya nchi kimatibabu, kurejea nyumbani ili waweze kuhojiwa kuhusiana na shambulizi lililomlenga Lissu hapo tarehe 7 Septemba 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS