Taasisi ya al Mustafa Khairiya yaozesha vijana 100 Tanga, Tanzania + Sauti
Feb 26, 2019 03:09 UTC
Taasisi ya al Mustafa Khairiya ya jijini Tanga Tanzania imefanya hafla ya kuwaozesha vijana 100 wa Kiislamu katika jitihada za kupunguza maovu kwenye jamii. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
Tags