Mwenyekiti wa Chadema alipoachiliwa huru kwa dhamana Tanzania + Sauti
Mar 07, 2019 15:28 UTC
Nchini Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe, pamoja na Mbunge Esta Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam, na kutakiwa kuripoti mahakamani kwa mwezi mara moja. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam Amar Dachi
Tags