Tanzania ingali inashuhudia mfumko wa bei za bidhaa+SAUTI
Mar 10, 2019 13:06 UTC
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Tanzania, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa bei nchini humo kwa mwaka ulioishia mwezi Februari 2019 umebaki kuwa asilimia 3 kama ilivyokuwa mwaka ulioisha.
Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Ammar Dachi ana maelezo zaidi….
Tags