-
Mkuu wa Polisi Tanzania kuzungumzia mauaji ya mkoani Pwani
Jul 05, 2017 10:05Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania, Simon Sirro amesema hivi karibuni atazungumza kuhusu suala la mauaji yanayotokea mkoani Pwani.
-
SAUTI, Wanachama wa CUF wanaomuunga mkono Profesa Lipumba wamefurahishwa na ufutaji kesi wa jana
Jun 22, 2017 11:46Wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa zamani wa chama aliyevuliwa nafasi hiyo na katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Hamad, wameonyesha kufurahishwa na uamuzi wa kufuta kesi zote uliofanywa jana.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mashindano ya Qur'an Tanzania na ubaguzi wa kidini huko Kenya
Jun 16, 2017 13:37Ni ripoti ya matukio ya Kiislamu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ambayo imeandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Hassan Issa Ali.
-
Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania
Jun 03, 2017 05:36Wabunge nchini Tanzania wameelezea kutofurahishwa na kitendo cha Spika wa Bunge la nchi hiyo Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu mbunge wa upinzani John Mnyika (CHADEMA) na kusema kuwa vitendo hivyo ni unyanyasaji dhidi ya wabunge wa upinzani na ni kuwapendelea wabunge wa chama tawala CCM. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi...
-
IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti
May 31, 2017 12:41Awapa tahadhari wanaojihusisha na mauaji hayo kuwa chuma chao ki-motoni.
-
Rais wa Tanzania amfuta kazi waziri Muhongo
May 24, 2017 09:55Rais John Magufuli wa Tanzania ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini wa nchi hiyo, Sospeter Muhongo kutokana na kuhusika katika kashfa ya mchanga wa dhahabu uliokuwa unasafirishwa nje ya Tanzania.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 22
May 22, 2017 02:43Ufuatao ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi
May 21, 2017 23:54Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 15
May 15, 2017 03:24Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini awasili Tanzania kwa ziara rasmi
May 11, 2017 00:16Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, aliwasili nchini Tanzania jioni ya jana kwa ziara ya kikazi.