-
Mamia ya wasichana wa Kitanzania walioko India, Thailand, Oman Saudia nk kurejeshwa nchini
Jun 11, 2016 00:00Serikali ya Tanzania imesema kuwa, itawarudisha nchini mamia ya wasichana raia wa nchi hiyo waliokwama nchini India na mataifa mengine baada ya taasisi zilizowachukua kwenda kuwatafutia ajira, kukiuka mikataba yao na kuwalazimisha kufanya kazi tofauti ikiwemo ya ukahaba.
-
NEC Tanzania: Hatukuwataka waangalizi wa uchaguzi kuangalia wa ZNZ ila wa bara
Jun 05, 2016 00:07Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetoa radiamali yake juu ya ripoti ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana 2015, iliyowasilishwa hivi karibuni na ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU).
-
Tanzania: Wakaazi wa kijiji kulikojiri mauaji Tanga wahama
Jun 03, 2016 10:14Wakaazi wa kijiji cha Kibatini mkoani Tanga huko Tanzania wamekihama kijiji chao kufuatia mauaji ya kutisha yaliyotokea katika eneo hilo.
-
EU: Sheria ya Mtandao nchini Tanzania, ifanyiwe marekebisho
Jun 02, 2016 11:23Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU-EOM), umewasilisha ripoti yake kamili yenye mapendekezo tofauti kuhusiana na marekebisho ya kuboresha mchakato mzima wa uchaguzi nchini Tanzania.
-
Serikali Tanzania: Kutoongezwa muda wa simu feki ni kuwataka Watanzania wajifunze kufuata taratibu
May 27, 2016 23:50Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa haitaongeza muda wa kuzifungia simu feki ifikapo tarehe 16 Juni na kwamba imechukua uamzi huo ili kuwafanya Watanzania wajifunze kufuata taratibu.
-
Bunge la Afrika Mashariki laanza vikao Arusha, kujadili bajeti ya EAC
May 23, 2016 07:44Bunge la Afrika Mashariki EALA limeanza vikao vyake mjini Arusha nchini Tanzania hii leo, huku mjadala kuhusu bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ikiwa moja ya ajenda kuu katika vikao hivyo.
-
Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran
May 22, 2016 23:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuziuzia nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania gesi asilia oevu (LNG).
-
Waziri aliyepigwa kalamu nyekundu na Rais Magufuli kwa ulevi, aendelea kusakamwa na tuhuma
May 22, 2016 03:53Ikiwa ni siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Charles Kitwanga kupigwa kalamu nyekundu na Rais John Pombe Magufuli kutokana na ulevi, wanasiasa na wasomi mbalimbali nchini humo wameendelea kumbana zaidi wakisema hatua hiyo ya rais imekuja ikiwa imechelewa.
-
Bakwata yalaani rasmi shambulio la msikitini mjini Mwanza, Tanzania
May 21, 2016 23:51Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, (Bakwata) limelaani mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa wakufurishaji katika msikiti mmoja jijini Mwanza.
-
Waliovamia Msikiti Mwanza na kuua watu walikuwa na bendera za ISIS (Daesh)
May 20, 2016 11:57Genge la watu waliouhujumu msikiti mmoja wa mjini Mwanza kaskazini mwa Tanzania Jumatano usiku na kutekeleza mauaji walikuwa na bendera za kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.