-
Serikali ya Burundi yasema itashiriki mazungumzo ya amani Tanzania
May 19, 2016 23:37Serikali ya Burundi imesema, itahudhuria mazungumzo ya amani ya nchi hiyo yaliyopangwa kufanyika mjini Arusha, Tanzania kwa usuluhishi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC).
-
Matakfiri wavamia msikiti Mwanza, Tanzania na kufanya mauaji
May 19, 2016 11:57Watu wanaodhaniwa kuwa ni wakufurishaji wamevamia msikiti wa ‘Masjid Rahma’ mkoani Mwanza, Tanzania na kufanya mauaji.
-
Matakfiri wavamia msikiti Mwanza, Tanzania na kufanya mauaji
May 19, 2016 11:23Watu wanaodhaniwa kuwa ni wakufurishaji wamevamia msikiti wa ‘Masjid Rahma’ mkoani Mwanza, Tanzania na kufanya mauaji.
-
Wizara ya Ulinzi Tanzania: Tumejiweka tayari kukabiliana na ugaidi
May 11, 2016 23:42Serikali ya Tanzania imesema kuwa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka yote ya nchi hiyo ni shwari na kwamba imejipanga kukabiliana na wimbi la makundi ya kigaidi.
-
Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina
May 10, 2016 23:47Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.
-
Tanzania yatangaza vita dhidi ya uharibifu wa mazingira
May 02, 2016 23:53Serikali nchini Tanzania imesema kuwa, hali ya mazingira ya nchi hiyo ni mbaya kutokana na kukithiri kwa uharibifu mkubwa wa mazingira, ambapo kwa sasa takribani asilimia 61 ya ardhi yake iko kwenye hatarini ya kuwa jangwa.
-
Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa
May 01, 2016 23:29Mazungumzo ya amani ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi ambayo yalitazamiwa kuanza leo Jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania yameahirishwa.
-
Barabara ya kwanza ya juu (flyover) kujengwa Dar-es-Salaam Tanzania
Apr 17, 2016 02:41Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela, eneo la Tazara Jijini Dar es salaam ambayo inatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba 2018.
-
Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya
Apr 16, 2016 11:36Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta kupitia Tanzania badala ya Kenya.
-
Mafuriko yaua watu wawili Tanzania
Apr 15, 2016 03:19Watu wawili wamethibitishwa kufariki dunia na mamia ya wengine kuachwa bila makao baada ya mvua kubwa kunyesha kwa wiki moja katika wilaya ya Kyela, kusini magharibi mwa Tanzania.