-
Alkhamisi, Novemba 27, 2025
Nov 27, 2025 02:22Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2025.
-
Tehran: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni 'doa la fedheha' kwa watayarishaji wake
Nov 24, 2025 03:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani azimio lililopitishwa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran na kulitaja kuwa "doa la fedheha" kwa wafadhili wa azimio hilo.
-
Jumatano, tarehe 22 Oktoba, 2025
Oct 22, 2025 12:59Leo ni Jumatano tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Oktoba 2025.
-
Jumatano 24 Septemba
Sep 24, 2025 02:17Leo ni Jumatano tarehe Mosi Rabiul Thani 1447 Hijria Qamaria sawa na Pili Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 24 Septemba 2025 Miladia.
-
Mazishi ya mashahidi 60 katika mji wa Tehran; dhihirisho la umoja na kupinga ubeberu
Jun 28, 2025 07:58Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Juni 2025 inayosadifiana na tarehe pili Muharram 1447 Hijria Tehran inashuhudia shughuli kubwa na ya kihistoria ambapo zaidi ya mashahidi 60 wa muqawama kuanzia makamanda wa jeshi hadi raia wa kawaida wa wanawake na watoto, wameagwa na umati mkubwa wa wananchi wanamapinduzi wa Iran.
-
Mkutano wa 3 wa Kiuchumi wa Iran na Afrika umeanza mjini Tehran
Apr 27, 2025 07:49Mkutano wa 3 wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika umeanza leo hapa Tehran na utaendelea hadi tarehe 29 mwezi huu wa Aprili. Mkutano huu aidha utaendelea katika mji wa Isfahan hapa nchini tarehe 29 hadi 30 Aprili.
-
Eslami aitaka IAEA kutoegemea upande wowote katika mazungumzo ya kati ya Tehran na Washington
Apr 18, 2025 02:39Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hautoegemea upande wowote kuhusiana na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Tehran na Washington.
-
Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Apr 04, 2025 12:31Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.
-
Imam wa Swala ya Ijumaa: Maandamano ya Siku ya Quds ni dhihirisho la Tauhidi na kumpenda Mungu
Mar 28, 2025 13:01Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran ameashiria kushiriki kwa wingi na kwa hamas wananchi wa Iran ya Kiislamu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu na kusema: Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds siku zote yamekuwa dhihirisho la Tauhidi na kumpenda Mwenyezi Mungu.
-
Maonyesho ya Qur'ani ni mahali pa kujifunza juu ya muujiza wa Neno la Mungu
Mar 06, 2025 04:58Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema: "Maonyesho ya Qur'ani yanapaswa kutufahamisha kuhusu miujiza ya Wahyi na kutukurubisha kwenye muujiza wa kimaarifa na wa batini wa Qur'ani."