-
Kadhim Siddiqi: Taifa la Iran lilisimama imara mbele ya uchokozi na dhulma ya madola makubwa
Sep 23, 2016 10:32Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa kurejesha amani na uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati kunategemea kuwepo vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Zarif na Cavusoglu wajadili masuala ya kieneo
Aug 19, 2016 12:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Mevlut Cavusoglu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa muda wa masaa matano.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na Saudia zinataka kulifufua kundi la kigaidi la MKO
Aug 19, 2016 12:05Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran amesema kuliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqina ndio mpango mpya wa mabeberu na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya taifa la Iran.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani jinai za Aal Saud nchini Yemen
Jul 29, 2016 12:04Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud huko Yemen na kusema kuwa vitendo vya utawala huo vinakinzana na sheria za kimataifa na za Kiislamu.
-
Iran yatibua shambulizi la kigaidi dhidi ya Tehran
Jun 20, 2016 02:34Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa shambulizi la kigaidi hapa mjini Tehran na kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa wa njama hizo za kigaidi.
-
Maadhimisho ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA
Jun 03, 2016 10:23Sehemu ya umati mkubwa wa watu walioshiriki katika kumbukumbu ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA zilizofanyika Ijumaa, Juni 3, 2016, katika haram ya mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kusini mwa Tehran
-
Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran
May 25, 2016 03:01Sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika zinafanyika leo hapa mjini Tehran katika ofisi ya utafiti wa kisiasa na kimataifa ya Wizara ya Mambo ya Nje.
-
Vifaa vya tiba vya Iran vinauzwa katika nchi 44 duniani
May 16, 2016 11:37Katibu wa Umoja wa Wasafirishaji Nje Vifaa vya Tiba vya Iran amesema kuwa, Tehran inauza vifaa vyake vya tiba kwa nchi 44 duniani.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran na ujumbe wa ngazi za juu
Apr 16, 2016 03:00Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amewasili hapa mjini Tehran akiandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa wanasiasa, wawekezaji na wafanyabiashara wa Ulaya katika safari inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Iran na EU.