-
Mafanikio makubwa ya nyuklia ya Iran
Apr 12, 2025 07:07Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojai nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Iran yazindua satalaiti 3 za Navak-1, Pars-1 iliyoboreshwa, na Pars-2
Feb 02, 2025 11:17Iran imezindua satalaiti tatu mpya wakati wa hafla iliyofanyika leo Jumapili kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.
-
Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa dunia
Jul 19, 2024 11:08Hitilafu kubwa ya kiteknolojia iliyotokea asubuhi ya leo Ijumaa imesababisha mashirika makubwa ya ndege duniani kusitisha safari zao, mabenki kushindwa kutoa huduma kwa wateja, vyombo vya habari vya kimataifa kushindwa kurusha matangazo yao pamoja na kusimama kwa huduma nyingine nyingi zinazoendeshwa kwa kutumia teknolojia.
-
Iran ni namba moja Ulimwengu wa Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojia
Jul 01, 2024 02:23Kwa mujibu wa hifadhidata ya kimataifa ya "Web of Science," Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya sita duniani na ya kwanza kati ya nchi za Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojia ya mtandao wa neva.
-
Iran yaongoza katika uwanja wa matibabu ya macho Asia Magharibi
Nov 30, 2023 14:51Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika. @@@
-
Iran kuzalisha zaidi ya dawa 60 za radiopharmaceuticals
Nov 30, 2023 14:48Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Tehran yalaani kauli 'ya kuingilia kati' ya Uingereza kuhusu satalaiti ya Nour 3
Oct 05, 2023 08:03Iran imelaani vikali kauli ya "kiuingiliaji kati" ya serikali ya Uingereza kuhusu kurusha angani satalaiti mpya ya Nour 3 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Rais Raisi barani Afrika ilijikita katika masuala ya sayansi na teknolojia
Jul 27, 2023 03:43Katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani, tutaangazia safari ya hivi karibuni ya Rais Ebrahim Raisi barani Afrika ambapo suala la uhusiano wa sayansi na teknolojia baina ya Iran na Afrika lilipewa kipaumbele.
-
Iran yazindua kombora la kisasa la Kheibar
May 28, 2023 07:57Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Iran yafungua kituo cha kisasa cha kutibu saratani, Kenya yazindua satalaiti
Apr 30, 2023 18:39Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taarifa katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.