-
Mahakama Tunisia yaagiza kuachiwa huru kiongozi wa upinzani
Jun 16, 2021 03:37Vyombo vya mahakama nchini Tunisia vimeagiza kuachiwa huru kiongozi wa upinzani, Nabil Karoui, miezi sita baada ya kutiwa nguvuni kwa tuhuma za ufisadi na kukwepa kodi.
-
Maandamano dhidi ya ukandamizaji wa polisi yaendelea huko Tunis, Tunisia
Jun 15, 2021 22:39Maandamano ya usiku ambayo yamekuwa yakifanywa kwa siku kadhaa sasa na wakazi wa mji mji mkuu wa Tunisia, Tunis yameripotiwa kushika kasi. Maandamano hayo yameshuhukiwa katika vitongoji viwili huko Tunis.
-
Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya akutana na Rais wa Tunisia
May 31, 2021 02:53Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya amehimiza kurahishishwa mawailiano na sekta ya uchukuzi baina ya nchi yake na Tunisia.
-
Jumatano tarehe 26 Mei 2021
May 25, 2021 22:46Leo ni Jumatano tarehe 14 Shawwal 1442 Hijria sawa na 26 Mei mwaka 2021.
-
EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya
May 20, 2021 23:07Kamishna wa Mambo ya Ndani katika Umoja wa Ulaya (EU) Ylva Johansson, amesema umoja huo unashauriana na Tunisia na Libya ili kufikia mapatano yatakayowezesha kuzuia wahajiri wasielekee barani ya Ulaya.
-
Rais wa Ufaransa na viongozi kadhaa wa Afrika wahudhuria mazishi ya Rais Deby wa Chad
Apr 23, 2021 22:50Mazishi ya rais Idriss Deby wa Chad yalifanyika jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo N'Djamena, ambapo maelfu ya watu walitoa heshima zao wa mwisho wa kiongozi huyo aliyefariki kutokana na majeraha aliyopata katika mstari wa mbele wa vita wakati akiongoza jeshi lake kukabiliana na shambulio la waasi.
-
Watu wasiopungua 21 wafariki baharini baada ya boti kuzama katika pwani ya Tunisia
Apr 16, 2021 22:13Watu wasiopungua 21 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wameabiri kuzama katika pwani ya Tunisia wakati wakijaribu kuvuka maji ya bahari ya Mediterania ili kufika kwenye kisiwa cha Lampedusa nchini Italia.
-
Rais wa Tunisia apinga kufanyiwa marekebisho Mahakama ya Katiba
Apr 04, 2021 23:58Rais wa Tunisia amemtumia ujumbe Spika wa Bunge la nchi hiyo akipinga kufanyiwa marekebisho Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo.
-
Chama cha al Nahdha chahimiza kuanza mazungumzo ya kitaifa nchini Tunisia
Apr 02, 2021 02:05Chama cha Kiislamu cha al Nahdha nchini Tunisia kimetangaza kuwa, kuna wajibu kwa wanasiasa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa ili kupunguza mivutano katika nyuga tofauti za nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Watunisia waungana na Wapalestina kuadhimisha Siku ya Ardhi na kulaani kuanzisha uhusiano na Israel
Mar 31, 2021 07:19Jumuiya na makundi mbali mbali ya kisiasa na kiraia nchini Tunisia yameadhimisha Siku ya Ardhi ya Palestina na kulaani juhudi na hatua zozote zile za kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.