Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Waziri Mkuu wa Tunisia awapiga kalamu nyekundu mawaziri 5

    Waziri Mkuu wa Tunisia awapiga kalamu nyekundu mawaziri 5

    Feb 16, 2021 02:44

    Waziri Mkuu wa Tunisia amewafuta kazi mawaziri watano katika baraza la mawaziri la nchi hiyo na kuwateuwa wengine kushika nyadhifa hizo.

  • Watunisia waandamana wakipinga kuanzishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Watunisia waandamana wakipinga kuanzishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Feb 15, 2021 10:29

    Wananchi waliokuwa na hasira wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis, wakipinga hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.

  • Mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Tunisia

    Mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Tunisia

    Feb 14, 2021 03:46

    Moto za mzozo wa kisiasa umezidi kuwa mkubwa nchini Tunisia baada ya Waziri Mkuu kumtuhumu rais wa nchi hiyo kuwa ndiye anayeikwamisha Serikali.

  • Askari wanne wa jeshi la Tunisia wauawa katika mpaka wa pamoja na Algeria

    Askari wanne wa jeshi la Tunisia wauawa katika mpaka wa pamoja na Algeria

    Feb 04, 2021 04:27

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Tunisia ametangaza kuwa askari wanne wa jeshi la nchi hiyo wameuawa katika mripuko wa bomu la kutegwa ardhini uliotokea kwenye mpaka wa pamoja wa Tunisia na Algeria.

  • Israel yatuhumiwa kuhusika na njama ya kumuua Rais wa Tunisia

    Israel yatuhumiwa kuhusika na njama ya kumuua Rais wa Tunisia

    Jan 29, 2021 07:32

    Harakati ya al-Shaab ya Tunisia imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika na njama ya kutaka kumuua Rais Kais Saied wa nchi hiyo kwa kutumia sumu.

  • Kuendelea machafuko nchini Tunisia

    Kuendelea machafuko nchini Tunisia

    Jan 25, 2021 09:38

    Licha ya kupita takriban muongo mzima tangu yalipotokea mapinduzi ya wananchi wa Tunisia na kuchochea mapinduzi mengine katika nchi kadhaa za ulimwengu wa Kiarabu, lakini bado wananchi wa nchi hiyo wanalalamikia matatizo mengi ya kijamii na kisiasa nchini mwao.

  • Machafuko yaendelea Tunisia, jeshi kumiminwa mitaani kuwasaidia polisi

    Machafuko yaendelea Tunisia, jeshi kumiminwa mitaani kuwasaidia polisi

    Jan 19, 2021 03:14

    Vijana wenye hasira wameendelea kukaidi amri ya karantini ya nchi nzima huko Tunisia hasa nyakati za usiku na wameendelea kufanya maandamano licha ya kuweko maambukizi ya kirusi cha corona.

  • Makumi ya wahajiri wafa maji katika pwani ya Tunisia

    Makumi ya wahajiri wafa maji katika pwani ya Tunisia

    Dec 25, 2020 13:05

    Wahajiri wasiopungua 20 wamepoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea jana Alkhamisi katika mji wa pwani wa Sfax nchini Tunisia.

  • Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao

    Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao

    Dec 23, 2020 12:26

    Algeria na Tunisia zimeizuia ndege ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuruka katika anga zao ili kuonyesha upinzani wao kwa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.

  • Wizara ya Mashauri ya Kigeni: Tunisia haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni: Tunisia haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 23, 2020 08:05

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Tunisia imeashiria juhudi za baadhi ya mataifa ya kieneo za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, serikali ya Tunis haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS