-
Ijumaa, tarehe 26 Mei, 2023
May 26, 2023 01:23Leo ni Ijumaa tarehe 6 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na Mei 26 mwaka 2023
-
HRW: Serikali ya Tunisia imedhamiria kukivunja chama cha Kiislamu cha Al-Nahdhah
May 13, 2023 02:44Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limefichua njama zinazopangwa na viongozi wa serikali ya Tunisia za kulivunja na kulisambaratisha kikamilifu Vuguvugu la Kiislamu la An-Nahdhah, ambacho ndicho chama kikubwa zaidi cha siasa nchini humo.
-
Mauaji na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake vimeongezeka nchini Tunisia
May 02, 2023 01:29Wanawake wa Tunisia wanakabiliwa na hali mbaya ya ongezeko la ukatili na mauaji dhidi yao yanayofanywa na waume zao au na ndugu wa familia zao.
-
Watunisia watangaza mshikamano na waliowekwa kizuizini kwa sababu za kisiasa
May 01, 2023 01:49Vuguvugu la Uokovu wa Taifa la Tunisia limefanya mkusanyiko kwenye barabara ya Habib Bourguiba mjini Tunis kutangaza mshikamano na viongozi na wanaharakati waliowekwa kizuizini kwa sababu za kisiasa.
-
Kutiwa nguvuni Rached Ghannouchi kiongozi wa Chama cha Kiislamu cha Ennahdha cha Tunisia
Apr 19, 2023 11:23Chama cha Kiislamu cha Ennahdha nchini Tunisia Jumatatu wiki hii kilitangaza kuwa askari usalama wamemtia mbaroni Rached Ghannouchi mkuu wa chama hicho baada ya kuivamia nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis.
-
Tunisia yafunga ofisi za chama cha Ennahdha baada ya kumtia mbaroni kiongozi wake
Apr 19, 2023 01:29Mamlaka husika nchini Tunisia jana Jumanne zilizifunga ofisi zote za chama cha upinzani chenye mwelekeo wa Kiislamu cha Ennahdha siku moja baada ya kumkamata kiongozi wa chama hicho, Rached Ghannouchi. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa chama hicho kikuu cha upinzani.
-
Muungano wa Kitaifa wa Uokovu wa Tunisia wataka kuachwa huru wafungwa wa kisiasa
Apr 15, 2023 06:55Muungano wa Kitaifa wa Uokovu wa Tunisia umetoa wito wa kuachwa huru wafungwa wa kisiasa katika maandamano ya kupinga utawala wa rais wa nchi hii, Kais Saied.
-
Azma ya Tunisia ya kujiunga na Jumuiya Ushirikiano ya Shanghai (SCO)
Apr 09, 2023 08:00Msemaji wa chama cha Harakati ya Julai 25 chenye mfungamano na Rais wa Tunisia amesema kuwa nchi hiyo inajipanga kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Kuongezwa kiwango cha uhusiano wa Tunisia na Syria; kutoka uwakilishi hadi balozi kamili
Apr 07, 2023 02:20Syria imepongeza uamuzi wa Rais Kais Saied wa Tunisia wa kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wa kidiplomasia katika ubalozi wa nchi hiyo mjini Damascus Syria.
-
29 wafa maji, 11 waokolewa katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Mar 27, 2023 11:35Gadi ya Kitaifa ya Ulinzi wa Pwani ya Tunisia imetangaza habari ya kuaga dunia wahamiaji 29 kati ya 34 wa Kiafrika waliotoweka Ijumaa iliyopita baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Ulaya kuzama baharini karibu na pwani ya Tunisia.