-
Waungaji mkono wa Rais wa Tunisia waandamana dhidi ya 'wasaliti'
Mar 21, 2023 02:27Mamia ya wafuasi wa serikali ya Rais Kais Saied wa Tunisia jana Jumatatu walifanya maandamano katika mji mkuu Tunis, kuonyesha uungaji mkono wao kwa kiongozi huyo anayekabiliwa na mashinikizo ya kumtaka ajiuzulu.
-
Jumatatu, tarehe 20 Machi, 2023
Mar 20, 2023 02:17Leo ni Jumatatu tarehe 27 Shaaban 1444 Hijria sawa na tarehe 20 Machi mwaka 2023.
-
Kurejeshwa uhusiano wa kisiasa wa Tunisia na Syria; pigo jingine kwa wenzo wa Magharibi wa kuitenga kisiasa Damascus
Mar 13, 2023 02:28Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza kuwa, serikali yake imechukua uamuzi wa kurejesha kikamilifu uuhusiano wake na taifa la Syria.
-
Upinzani Tunisia wataka kuachiwa huru wafungwa wa kisiasa
Mar 09, 2023 06:42Mrengo mkubwa zaidi wa upinzani huko Tunisia umetaka kuachiwa huru wafungwa wa kisiasa huku mgogoro wa kisiasa ukizidi kupanuka katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiafrika warejea nyumbani wakitokea Tunisia
Mar 05, 2023 10:39Mamia ya wahajiri wa Kiafrika wamerejea katika nchi zao wakitokea Tunisia, siku chache baada ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo kutoa matamshi yaliyoonekana kuwa dhidi ya wahamiaji nchini humo.
-
Wanadiplomasia wa kigeni wanaoingilia masuala ya ndani Tunisia waonywa
Mar 01, 2023 06:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imewaonya vikali wanadiplomasia wa nchi za kigeni wanaoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
UN yaikosoa Tunisia kwa kuwawekea mbinyo wakosoaji na wapinzani
Feb 17, 2023 02:50Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo unatiwa wasiwasi na kushtadi wimbi la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kisiasa na wapinzani wa serikali ya Rais Kais Saeid wa Tunisia.
-
Watunisia wapatwa na wasiwasi kuhusu mpango wa kusafirisha gesi wa Algeria na Italia
Jan 31, 2023 02:23Taarifa ya karibuni ya serikali ya Algeria kuhusu mpango wake kujenga bomba la pili la kusafirisha gesi ya nchi hiyo hadi Italia bila kupitia Tunisia imesababisha wasiwasi kkwa wananchi wa Tunisia.
-
Upinzani wa Tunisia watoa wito wa umoja dhidi ya Rais kufuatia ushiriki mdogo wa wananchi katika uchaguzi wa Bunge
Jan 30, 2023 13:23Matokeo rasmi ya awali baada ya upigaji kura kumalizika nchini Tunisia jana Jumapili, yalionyesha kuwa ni asilimia 11.3 tu ya wapiga kura walishiriki katika uchaguzi huo.
-
Ushiriki mdogo watazamiwa katika duru ya pili ya uchaguzi wa Bunge Tunisia
Jan 29, 2023 12:28Idadi ndogo ya wapiga kura wanatazamiwa kushiriki duru ya pili uchaguzi wa Bunge nchini Tunisia wa leo, baada ya makundi ya upinzani kikiwemo chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa nchini humo cha Annahdha kutoa miito ya kususia uchaguzi huo.