Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ubaguzi wa rangi

  • Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi

    Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi

    May 29, 2020 22:23

    Ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.

  • Kongresi ya Marekani yataka kufanyika uchunguzi katika mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo

    Kongresi ya Marekani yataka kufanyika uchunguzi katika mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo

    May 29, 2020 06:43

    Bunge la Kongresi la Marekani sambamba na kutahadharisha juu ya kupotea imani ya wananchi kuhusu utekelezaji wa sheria usio na ubaguzi, limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo hususan mauaji ya hivi karibini.

  • Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika

    Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika

    Oct 04, 2019 23:08

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kuwa, wimbi la mashambulizi yaliyowalenga Wanigeria na wageni wa mataifa mengine ya Afrika huko Afrika Kusini mwezi uliopita yalikuwa aibu kwa bara zima la Afrika.

  • Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Aug 13, 2019 02:59

    Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.

  • Maafisa 60 wa jeshi la Israel wataka kukomeshwa ubaguzi wa rangi

    Maafisa 60 wa jeshi la Israel wataka kukomeshwa ubaguzi wa rangi

    Jul 21, 2019 03:38

    Maafisa 60 wenye asili ya Ethiopia wa jeshi la Israel wametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi wa rangi katika muundo wa jeshi la utawala huo.

  • Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia

    Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia

    Jul 03, 2019 03:09

    Jumapili ya terehe 30 ilikuwa siku ya kumbukumbu ya tukio muhimu sana katika historia ya Afrka na dunia nzima. Ilikuwa siku ya kufutwa mfumo usio wa kibinadamu wa Apartheid huko Afrika Kusini mwaka 1991.

  • Jumapili, tarehe 30 Juni, 2019

    Jumapili, tarehe 30 Juni, 2019

    Jun 29, 2019 23:48

    Leo ni Jumapili tarehe 26 Mfunguo Mosi Shawwal 1440 Hijria, sawa na tarehe 30 Juni 2019 Miladia.

  • Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba

    Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba

    Dec 04, 2018 21:40

    Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini kimetangaza kuwa, yumkini kikaenda mahakamani kusimamisha pendekezo la kufanyika marekebisho ya ardhi baada ya Bunge kupasisha ripoti inayoidhinisha kufanyika marekebisho ya katiba yatakayoruhusu kutwaliwa ardhi zinazomilikiwa na wazungu waliowachache bila ya kulipwa fidia.

  • Seneta Marekani akosolewa kwa kudhalilisha Kiswahili wakati wa kumsaili mkuu wa Facebook

    Seneta Marekani akosolewa kwa kudhalilisha Kiswahili wakati wa kumsaili mkuu wa Facebook

    Apr 11, 2018 03:16

    Seneta mmoja nchini Marekani amekosolewa na watumizi wa mitandao ya kijamii kutokana na hatua yake ya kuonekana kuikejeli na kuidhalilisha lugha ya Kishwaili.

  • Kenya ni mwenyeji wa Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel

    Kenya ni mwenyeji wa Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel

    Mar 22, 2018 11:36

    Duru ya 14 ya 'Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel' inafanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ikijumuisha maonyesho ya filamu, mijadala na matamasha ya kiutamaduni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS