-
Jumamosi, 3 Februari, 2018 Februari 2018
Feb 03, 2018 03:39Leo ni Jumamosi tarehe 16 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 3 Fenruari 2018 Miladia.
-
Kansela wa Ujerumani aunga mkono siasa za kuwapokea wakimbizi
Aug 27, 2017 14:36Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel ameunga mkono siasa zinazotekelezwa na serikali yake za kuwapokea wakimbizi nchini humo.
-
Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN
Apr 28, 2017 07:37Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema nchi hiyo ya Ulaya inajuta kwa kuiunga mkono Saudi Arabia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya Umoja wa Mataifa.
-
Jumamosi, Machi 25, 2017
Mar 25, 2017 02:23Leo ni Jumamosi tarehe 26 Jamad Thani 1438 Hijria mwafaka na tarehe 25 Machi 2017 Miladia.
-
Ubelgiji: Saudia inaeneza fikra za Uwahabi barani Ulaya
Feb 09, 2017 07:18Ubelgiji imeeleza wasi wasi wake juu ya kuenea kwa kasi mwangwi wa Uwahabi katika nchi hiyo na kote bara Ulaya kwa ujumla.
-
Ijumaa, 3 Februari, 2017
Feb 03, 2017 03:11Leo ni Ijumaa tarehe 5 Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 3, 2017.
-
Larijani alaani mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 24, 2016 15:08Spika wa Majilisi ya ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi ya juzi katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, ambapo watu zaidi ya 30 waliuawa.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 23, 2016 07:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels na kusababisha vifo vya makumi ya watu.