-
Uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran
Mar 04, 2024 13:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala yetu ya wiki ambayo itaangazia uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran.
-
Mtazamo wa kiusalama wa maadui kuhusu uchaguzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 24, 2024 09:19Ufuatiliaji na uchunguza wa mienendo na harakati za maadui kuhusu uchaguzi wa Machi Mosi nchini Iran unaonyesha kuwa wanautazama uchaguzi huo wa Bunge kwa mtazamo wa kiusalama.
-
Sababu za maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupiga upatu wa kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi
Feb 17, 2024 09:24Wiki mbili zimebakia hadi kufanyika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusimamia kazi zake. Jambo hilo limepelekea maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuzidisha propaganda zao za kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi huo.
-
Rouhani: Uchaguzi wa Iran uliistaajabisha dunia
Mar 06, 2016 15:30Rais Hassan Rouhani amesema kwa mara nyingine tena kuwa wananchi wa Iran wamewastaajabisha walimwengu kutokana na namna walivyoshiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu uliofanyika hivi karibuni.
-
Ayat. Larijani: Kujitokeza kwa wingi Wairani kupiga kura, ishara ya kushindwa njama za mabeberu
Mar 01, 2016 08:04Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kujitokeza kwa wingi wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uchaguzi wa Ijumaa iliyopita ni ithibati tosha kuwa taifa la Iran linatii miito ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kutuma ujumbe wa kufeli njama za mabeberu dhidi ya taifa hili.
-
Mamilioni ya Wairani wamejitokeza kupiga kura
Feb 26, 2016 16:18Mamillioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza kupiga kura katika chaguzi mbili muhimu Ijumaa hii.
-
Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran
Feb 26, 2016 01:49Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa maandalizi na taratibu zote za uchaguzi wa kumi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na wa tano Baraza la Wataalamu zimekamilika.
-
Uchaguzi wa Iran una taathira kubwa zaidi kieneo
Feb 24, 2016 07:31Mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa amesema uchaguzi wa Iran ni muhimu katika eneo
-
Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi
Feb 21, 2016 02:46Waziri wa Mambo ya Ndani Iran amesema mipango ya imekamilika kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu wiki hii.
-
Watu karibu milioni 55 wametimiza masharti ya kupiga kura nchini Iran
Feb 15, 2016 03:07Mohammad Hussein Muqimi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Iran ametangaza kuwa, raia milioni 54, laki tisa na elfu kumi na tano na ishirini na nne wametimisha masharti ya kupiga kura katika uchaguzi ujao wa mwezi huu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran na Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.