-
Wamarekani hawana imani tena na demokrasia kutokana na uchaguzi wa rais ulivyoendeshwa
Nov 11, 2020 11:07Televisheni ya Fox News imetangaza kuwa, kutokana na namna uchaguzi wa rais wa Marekani ulivyoendeshwa, wananchi wa nchi hiyo hawana imani tena na demokrasia.
-
Ismail Hania: Trump ameondoka, lakini Quds itasalia kuwepo daima
Nov 08, 2020 03:54Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria kuhusu kubwagwa Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani na kusema kuwa, rais wa Marekani aliyetaka kuisambaratisha kadhia ya Quds ametokomea, lakini Baitul Muqaddas itaendelea kuwepo daima.
-
Taharuki Marekani; wafuasi wa Trump waliojizatiti kwa silaha za moto waingia mabarabarani
Nov 08, 2020 00:05Wafuasi wa Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump huku wakiwa wamejizatiti kwa silaha za moto wamemiminika katika barabara na mitaa ya majimbo ya Arizona na Georgia, kulalamikia ushindi wa Joe Biden katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Joe Biden atangazwa mshindi wa uchaguzi uliogubikwa na mizozo wa Marekani
Nov 07, 2020 23:10Hatimaye na baada ya siku nne za vuta nikuvute, vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden ndiye aliyechaguliwa na Wamarekani kuwa rais wa 46 wa nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani
Nov 07, 2020 06:44Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.
-
Mzozo wa uchaguzi wa rais wa Marekani 2020 wafikishwa mahakamani
Nov 05, 2020 07:12Kama ilivyotazamiwa, uchaguzi wa rais wa Marekani umegeuka na kuwa malumbano makubwa ya kisiasa na sasa mzozo huo umetinga katika mahakama za nchi hiyo.
-
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Marekani: Biden anaongoza kwa kura za Electoral College
Nov 04, 2020 02:55Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais wa Marekani yanaonyesha kuwa mgombea wa chama cha Democratic, Joe Biden anaongoza kwa kupata kura nyingi zaidi za Electoral College.
-
Kashfa ya wapiga kura waliofariki katika uchaguzi wa rais Marekani
Nov 03, 2020 20:46Kumepatikana idadi kubwa ya kura za watu waliofariki katika uchaguzi wa rais uliofanyika Jumanne nchini Marekani huku kukienea hofu ya kuwepo wizi wa kura katika uchaguzi huo.
-
Biden: Nitakomesha fujo zote za Trump
Nov 02, 2020 04:11Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amekosoa hali ya mambo ya nchi hiyo hivi sasa wakati wa uongozi wa hasimu wake wa chama cha Republican Donald Trump.
-
Kufichuliwa hatua za upendeleo za Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani kwa maslahi ya kampeni za uchaguzi za Trump
Oct 30, 2020 09:09Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani John Ratcliffe amezungumzia tuhuma za Iran kuingilia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani ambazo sasa imebainika kuwa zimetolewa ili kuimarisha kampeni za uchaguzi za Donald Trump.