-
Erdogan: Uchumi wa Kiislamu unaweza kuiondoa dunia katika mgogoro
Jun 15, 2020 14:59Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema uchumi wa Kiislamu ndiyo dawa mjarabu ya kuiondoa dunia katika mgogoro wa kiuchumi uliosababishwa na janga la corona.
-
Onyo la Steven Mnuchin juu ya uwezekano wa kusambaratika uchumi wa Marekani
May 17, 2020 12:21Kuenea kwa virusi vya Corona nchini Marekani kumeisababishia jamii ya nchi hiyo matatizo makubwa ya kila upande hususan kwenye upande wa uchumi.
-
Taathira za kisiasa, kijamii na kiuchumi za virusi vya COVID-19 (Corona)
Mar 28, 2020 08:36Katika kipindi cha sasa kadhia ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au Corona ndiyo gumzo na kadhia muhimu zaidi inayojadiliwa katika duru zote za kisiasa na vyombo vya mawasiliano ya kijamii na hata baina ya watu wa familia.
-
Corona na kushadidi changamoto za kiuchumi barani Ulaya
Mar 26, 2020 12:52Kugeuka Ulaya na kuwa kitovu cha kuenea virusi vya Corona (Covid-19) katika siku siku za hivi karibuni sambamba na kuongezeka idadi ya walioambukiizwa na virusi hivyo barani Ulaya kumepelekea kuibuka wasiwasi mkubwa katika uga wa utoaji huduma za tiba, afya, huduma za kibinadamu na kijamii katika nchi za bara hilo.
-
AU: Jamii ya kimataifa ichangie ustawi wa viwanda Afrika
Nov 17, 2019 07:39Umoja wa Afrika umetoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwa na mchango endelevu na amilifu katika ustawi wa viwanda katika nchi za Afrika.
-
Sergei Lavrov: Wamagharibi wameshindwa kutatua matatizo yao
Aug 16, 2019 02:29Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, kiigizo cha Wamagharibi kilichosimama juu ya misingi ya uliberali kimethibitisha kushindwa kwao kutatua matatizo yao.
-
Uchumi wa nchi za Afrika kufikia kiwango cha dola trilioni 3.4
Jul 08, 2019 08:11Uchumi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) unatazamiwa kuimarika na kufikia kiwango cha dola trilioni 3.4.
-
Deni la taifa la Marekani lavunja rekodi, ni zaidi ya dola trilioni 22
Feb 13, 2019 07:34Wizara ya Fedha ya Marekani imeripoti kuwa, nchi hiyo inadaiwa dola trilioni 22, kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao
Jan 17, 2019 07:48Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 07:28Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.