-
Deni la taifa la Marekani lavunja rekodi, ni zaidi ya dola trilioni 22
Feb 13, 2019 07:34Wizara ya Fedha ya Marekani imeripoti kuwa, nchi hiyo inadaiwa dola trilioni 22, kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao
Jan 17, 2019 07:48Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 07:28Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Kusambaratika uchumi wa Bahrain katika kivuli cha utawala wa Aal Khalifa
Jul 30, 2018 11:07Ripoti mbalimbali kutoka nchini Bahrain zinaonyesha kuwa, hali ya uchumi wa nchi hiyo ya Kiarabu inazidi kuwa mbaya chini ya kivuli cha utawala wa Aal Khalifa.
-
Le Drian: Hatumruhusu Trump kuiyumbisha Ulaya
Jul 13, 2018 15:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais wa Marekani kuhusiana na Ulaya na kueleza kuwa, Paris haitatoa mwanya kwa Trump kuivuruga Ulaya.
-
Machafuko ya karibunii Libya yaathiri vibaya uchumi wa nchi
Jul 03, 2018 03:07Shirika la Taifa la Mafuta la Libya limetangaza kuwa mapigano ya hivi karibuni katika eneo la Hilali ya Mafuta nchini humo yamesababisha hasara ya mamilioni ya dola kwa uchumi wa nchi hiyo.
-
Harakati ya mitandao ya kijamii ya kumtaka Rais Sisi wa Misri aondoke madarakani
Jun 24, 2018 01:14Kufuatia kuendelea kuwa mbaya mgogoro wa kiuchumi na kisiasa nchini Misri, wananchi ambao wanakandamizwa sasa wameamua kutumia mitandao ya kijamii hasa Twitter kulalamikia utawala wa Rais Abdel Fatah el Sisi huku wengi wakimtaka aondoke madarakani.
-
Haaretz: Ni Israel ndiyo iliyoangamiza uchumi wa Ukanda wa Ghaza
Jun 17, 2018 15:02Gazeti la utawala wa Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, Israel ndiyo iliiyoangamiza uchumi wa Ukanda wa Ghaza kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara kwenye maeneo muhimu ya kiuchumi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na zana za uvuvi za wananchi hao wa Ghaza.
-
Saudia yawatimua wafanyakazi wa kigeni baada ya kupanda gharama za vita dhidi ya Yemen
May 01, 2018 02:45Kufuatia gharamza kubwa za vita vyake dhidi ya watu wa Yemen, sasa Saudia imelazimika kuanza kupunguza wafanyakazi wa kigeni nchini humo.
-
Rais Rouhani: Iran sio itakayoanza kukiuka makubaliano ya nyuklia
Aug 30, 2017 07:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran sio itakayoanza kukiuka makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la Mpango Kamili wa Utekelezaji wa Pamoja (JCPOA).