-
Macron adai waliofanya mapinduzi Niger "wanamshikilia" balozi wa Ufaransa
Sep 16, 2023 08:10Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alidai jana Ijumaa kwamba balozi wa nchi yake nchini Niger, Sylvain Itte, "anazuiliwa" na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, akiashiria kwamba chakula anachokula ni "mgao wa chakula cha kijeshi."
-
Paris yaakiri kushindwa kwa sera zake za kikoloni barani Afrika
Sep 07, 2023 02:37Mapinduzi mtawalia yaliyotokea katika nchi kadhaa za Kiafrika kama Niger na Gabon, ambayo amepongezwa na kupokewa kwa shangwe na wananchi, yamegeuka kuwa harakati kubwa dhidi ya ukoloni mpya na mamboleo wa Ufaransa barani Afrika.
-
Makumi ya wanafunzi wa kike Waislamu Ufaransa warejeshwa majumbani kwa kuvaa abaya
Sep 06, 2023 03:14Katika siku ya kwanza ya mwaka wa masomo, skuli za umma nchini Ufaransa zimewarejesha majumbani wasichana kadhaa kwa kukataa kuvua mabaibui ya abaya yanayovaliwa na baadhi ya wanawake na wasichana wa Kiislamu. Hayo ni kwa mujibu wa Waziri wa Elimu wa nchi hiyo Gabriel Attal.
-
Maandamano ya kutaka kufukuzwa askari wa Ufaransa yashtadi Niger
Sep 02, 2023 11:09Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, kuonyesha uungaji mkono wao kwa serikali ya kijeshi inayotawala hivi sasa, na kutaka kufukuzwa nchini humo wanajeshi na wanadiplomasia wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Polisi wa Niger wanaendelea kuzingira ubalozi wa Ufaransa
Sep 02, 2023 02:44Polisi nchini Niger wanaendelea kuzingira majengo ya ubalozi wa Ufaransa mjini Niamey, huku Baraza la Kijeshi linalotawala nchi hiyo likichukua uamuzi wa kupiga marufuku shughuli za mashirika ya kimataifa na yasiyo ya kiserikali.
-
Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo
Sep 01, 2023 03:03Baraza la Taifa kwa ajili ya Ulinzi wa Wat'ani, (National Council for the Safeguard of the Homeland, CNSP) ambalo liliundwa hivi majuzi na viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, limeitaka Ufaransa ihakikishe kuwa ifikapo Septemba 3, iwe imeshaondoa vikosi vya jeshi lake vilivyoko nchini humo.
-
Niger yawataka wanajeshi wa mkoloni Ufaransa waondoke nchini humo haraka
Aug 31, 2023 06:53Serikali ya Niger imetoa amri kwa wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa wafungashe virago na toke nchini humo haraka.
-
Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa
Aug 30, 2023 02:26Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za Magharibi zimeonyesha sera za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nyanja mbalimbali za kisiasa na kijamii.
-
Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa
Aug 17, 2023 02:29Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.
-
Mali yasitisha kutoa huduma ya viza kwa raia wa Ufaransa
Aug 11, 2023 07:54Nchi ya Mali imesitisha kutoa viza kwa raia wa Ufaransa kwa muda usiojulikana kuanzia jana Alhamisi.