Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Aug 03, 2023 23:27

    Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, wakitaka kufukuzwa nchini humo mara moja wanajeshi wa Marekani na Ufaransa.

  • Wakuu wa Ufaransa, Marekani na Uingereza wapuuzwa, hawakualikwa mkutano wa BRICS

    Wakuu wa Ufaransa, Marekani na Uingereza wapuuzwa, hawakualikwa mkutano wa BRICS

    Jul 24, 2023 07:35

    Marais wa Ufaransa na Marekani na Waziri Mkuu wa Uingereza hawakualikwa kwenye mkutano ujao wa kundi la BRICS uliopangwa kufanyika barani Afrika.

  • Macron apokea zawadi ya kidole kilichokatwa kwenye kifurushi cha posta!

    Macron apokea zawadi ya kidole kilichokatwa kwenye kifurushi cha posta!

    Jul 14, 2023 04:31

    Chanzo cha usalama nchini Ufaransa kimetangaza kwamba kifurushi cha posta kilichokuwa na kidole kilichokatwa kimetumwa Ikulu ya Elysee na makazi ya Rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron.

  • Lukashenko: Kuna uwezekano wa kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Ulaya

    Lukashenko: Kuna uwezekano wa kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Ulaya

    Jul 07, 2023 08:42

    Rais wa Belarus amesema kuwa kuna uwezekano wa kutoa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Umoja wa Ulaya.

  • Ripoti yenye malengo maalumu ya Baraza la Haki za Kibinadamu dhidi ya Iran sambamba na ghasia za Ufaransa

    Ripoti yenye malengo maalumu ya Baraza la Haki za Kibinadamu dhidi ya Iran sambamba na ghasia za Ufaransa

    Jul 07, 2023 04:07

    Kamati eti ya kutafuta ukweli iliyoundwa na Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran imetoa ripoti yake ya awali kuhusu kile ilichokiita 'ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya nchi nzima'.

  • Kuendelea maandamano nchini Ufaransa; Macron aweka vikwazo dhidi ya mitandao ya kijamii

    Kuendelea maandamano nchini Ufaransa; Macron aweka vikwazo dhidi ya mitandao ya kijamii

    Jul 06, 2023 05:35

    Zaidi ya wiki moja imepita tangu maandamano yaanze huko Ufaransa na sasa serikali ya nchi hiyo ya Ulaya imeweka ksheria kali dhidi ya mitandao ya kijamii. Kuhusiana na hilo, viongozi wa Ufaransa wameituhumu mitandao ya kijamii ya Tik Tok, Snapchat na majukwaa mengine ya kijamii kuwa inachochea machafuko ambayo yameenea nchini baada ya afisa mmoja wa polisi kumpiga risasi na kumuua kijana mwenye umri wa miaka 17.

  • Rais wa Azerbaijan: Ufaransa inaendeleza ukoloni mamboleo

    Rais wa Azerbaijan: Ufaransa inaendeleza ukoloni mamboleo

    Jul 05, 2023 22:48

    Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan amesema Ufaransa ni moja ya nchi ambazo zinaendelea kung'angania na kutekeleza sera ya ukoloni mamboleo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia atahadharisha kuenea ghasia za Ufaransa katika nchi nyingine

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia atahadharisha kuenea ghasia za Ufaransa katika nchi nyingine

    Jul 04, 2023 00:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesisitiza kuwa nchi za Ulaya zinapasa kubuni sera ili kuzuia machafuko yaliyoigubika Ufaransa kuenea katika nchi nyingine.

  • Ubaguzi wa rangi; Mgogoro mkubwa barani Ulaya

    Ubaguzi wa rangi; Mgogoro mkubwa barani Ulaya

    Jul 03, 2023 04:44

    Kuendelea na kushadidi sera za ubaguzi umekuwa mgogoro mkubwa wa kisiasa na kijamii barani Ulaya, kiasi kwamba katika miezi ya hivi karibuni raia wengi wa Ulaya wametoa wito wa kukomeshwa sera hizo kwa kufanya mikutano na maandamano.

  • Kufikia tamati jukumu la kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Kufikia tamati jukumu la kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Jul 02, 2023 23:11

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja uamuzi wa kuhitimisha uwepo wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS