Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Burkina Faso yaifungia 'France 24' baada ya mahojiano na al-Qaeda

    Burkina Faso yaifungia 'France 24' baada ya mahojiano na al-Qaeda

    Mar 27, 2023 22:50

    Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesimamisha matangazo ya kanali ya televisheni ya Ufaransa ya France 24, baada ya chombo hicho kurusha hewani mahojiano kiliyoyafanya na kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda tawi la Kaskazini mwa Afrika AQIM.

  • Aliachwa akihangaika na kifo peke yake; Hasira zatanda Ufaransa baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu

    Aliachwa akihangaika na kifo peke yake; Hasira zatanda Ufaransa baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu

    Mar 24, 2023 22:50

    Mitandao ya kijamii nchini Ufaransa imeshuhudia wimbi kubwa la hasira na ghadhabu baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu ambaye alipatwa na mshtuko wa moyo, huku kukiwa na shutuma kwamba uongozi wa shule ulimwacha akikabilina na kifo peke yake bila ya kumpa huduma ya dharura.

  • "Adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu"... Wafaransa wamshambulia afisa aliyetetea haki za Waislamu

    Mar 16, 2023 22:57

    Wanaharakati na wanasiasa wa Ufaransa wamemshambulia kwa maneno Mratibu wa Kamisheni ya Ulaya ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Waislamu, Marion Lalisse, baada ya kuchapisha kipande cha video kwa lugha ya Kiarabu katika Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, na kufikia hatua ya kumutaja kuwa ni "adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu."

  • Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Mar 12, 2023 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani undumakuwili wa Ufaransa, ambayo kwa upande mmoja inajinadi kuwa mbeba bendera ya kutetea haki za binadamu, lakini kwa upande wa mwngine inakanyaga haki hizo kwa vitendo.

  • Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi

    Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi

    Mar 08, 2023 03:07

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maïga, amefichua - katika mahojiano maalumu na televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar- kuwa Bamako ina taarifa sahihi na ushahidi kwamba baadhi ya magaidi waliko nchini Mali wamekuwa wakiwasiliana na Ufaransa.

  • Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa

    Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa

    Mar 02, 2023 09:39

    Burkina Faso imevunja rasmi makubaliano ya kijeshi iliyosaini na Ufaransa mwaka 1961, wiki chache baada ya kumtaka mkoloni wake huyo wa zamani kuondoa vikosi vyake na balozi wake nchini humo.

  • Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Feb 21, 2023 07:22

    Hatimaye vikosi vya Ufaransa vimeondoka nchini Burkina Faso na kuhitimisha uwepo wake katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika uliodumu kwa miaka 10.

  • Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso

    Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso

    Feb 21, 2023 04:01

    Magaidi wasipoungua 160 wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Burkina Faso katika eneo la Sahel, wakati huu ambapo mabaki ya askari vamizi wa Ufaransa wanaendelea kuondoka nchini humo.

  • Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu

    Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 18, 2023 06:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kukutana na 'shakhsia' wanaopinga mfumo wa uongozi na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran tokeo mwaka 1979.

  • Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi

    Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi

    Feb 12, 2023 23:04

    Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya mamia ya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, na hususan mageuzi tata ya pensheni yaliyotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS