-
Tunisia yaijia juu polisi ya Ufaransa kwa kuua raia wake Marseille
Sep 04, 2025 07:36Tunisia imewasilisha malalamiko rasmi kwa Ufaransa, ikilaani mauaji ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu yaliyofanywa na polisi wa Ufaransa katika mji wa kusini wa Marseille.
-
Ufaransa yaharakisha kurejesha turathi za kale za nchi za Kiafrika bila ya kuidhinishwa na Bunge
Aug 06, 2025 03:55Serikali ya Ufaransa inafanya jitihada za kuharakisha kurejesha turathi za kale za nchi za Kiafrika katika nchi ilizozikoloni.
-
Ulaya kuitambua rasmi Palestina ni hatua iliyochukuliwa kwa kuchelewa au ni ubadilishaji wa mkakati tu?
Aug 01, 2025 02:45Siku chache baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutangaza kuwa atalitambua rasmi taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, serikali ya Uingereza nayo pia imesisitiza kuwa hivi karibuni itaitambua nchi ya Palestina.
-
Marekani na China zashutumiana vikali kwenye Baraza la Usalama la UN kuhusiana na Russia
Jul 27, 2025 09:56Marekani na China zimeshutumiana vikali wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu madai ya kuihusisha Beijing katika mzozo wa Ukraine.
-
Je, umewadia sasa wakati wa kuhitimishwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?
Jul 20, 2025 11:51Ufaransa imehitimisha muda wa zaidi ya miaka sitini ya uwepo wake wa kudumu wa kijeshi nchini Senegal kwa kukabidhi kambi ya kijeshi ya Geille iliyoko mjini Dakar kwa jeshi la nchi hiyo.
-
Ufaransa yakabidhi kambi za mwisho Senegal, yahitimisha uwepo wa kijeshi wa miongo kadhaa
Jul 17, 2025 14:15Ufaransa jana Alkhamisi ilikabidhi kambi zake za mwisho za kijeshi nchini Senegal, kuashiria kumalizika kwa uwepo wa kijeshi wa mkoloni huyo wa zamani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa miongo kadhaa.
-
Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?
Jul 17, 2025 02:35Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.
-
Wafanyakazi wa bandari Ufaransa, Italia wazuia kupelekwa silaha Israel
Jun 07, 2025 06:58Wafanyakazi wa bandari za Ufaransa na Italia wameendelea kufanya mgomo wao na kukataa kupakia shehena za silaha na zana za kijeshi zinazopelekwa Israel, wakisema kuwa hawatahusika katika "mauaji ya halaiki" yanayoendelea Gaza.
-
Israel yamjibu Macron: Kutambuliwa Palestina kutasalia kwenye karatasi tu
May 31, 2025 02:22Waziri wa Vita wa Israel, Israel Katz amemsuta na kumkejeli Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ambaye alisema mapema jana kwamba, kutambuliwa kwa taifa la Palestina, kwa masharti, ni "wajibu wa kimaadili."
-
Ijumaa, tarehe 30 Mei, 2025
May 30, 2025 03:06Leo ni Ijumaa tarehe 03 Dhulhija 1446 Hijria sawa na 30 Mei mwaka 2025.