-
Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza
Nov 06, 2020 22:59Kuongezeka vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Mtukufu (saw) nchini Ufaransa na kuungwa mkono vitendo hivyo na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kutetea uhuru wa kusema na kujieleza, ni jambo ambalo limeamsha hasira kubwa ya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni
Nov 05, 2020 04:52Wanafikra na viongozi wa dini duniani wametoa wito wa kutungwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu, dini za mbinguni na wafuasi wake.
-
Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria unayozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni
Nov 05, 2020 04:52Wanafikra na viongozi wa dini duniani wametoa wito wa kutungwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu, dini za mbinguni na wafuasi wake.
-
Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)
Nov 04, 2020 03:35Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wametoa taarifa wakilaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvujia heshima Mtume Muhammad (saw).
-
Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi
Nov 02, 2020 23:15Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ameitaka dunia ijifunze na kupata somo na ibra kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa iliyoacha kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina na kusisitiza kuwa, dunia inapaswa kupiga marufuku na kupambana na chuki na uhasama dhidi ya Uislamu kama ilivyopambana na chuki dhidi ya Uyahudi baada ya Holocaust (yanayodaiwa kuwa mauaji ya Mayahudi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia).
-
Rais wa Indonesia akosoa undumakuwili wa Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
Nov 01, 2020 08:19Rais Joko Widodo wa Indonesia amekosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu uhuru wa maoni na kujieleza na kusema: "Uhuru wa maoni ambao unavunjia heshima matukufu ya kidini haukubaliki."
-
Kukosolewa mwenendo wa sera za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
Nov 01, 2020 07:49Kushadidi utendaji ulio dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa katika majuma ya hivi karibuni siyo tu kwamba, kumewakasirisha Waislamu ulimwenguni kote, bali hata viongozi na wanasiasa wa nchi hiyo wameonyesha radiamali zao kwa hatua hiyo.
-
Dunia yaendelea kulaani matamshi ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume (saw)
Nov 01, 2020 04:40Wimbi kali la kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad (saw) nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Rais wa zamani wa Ufaransa: Si sahihi kuwahusisha magaidi na Uislamu
Oct 31, 2020 04:08Rais wa zamani wa Ufaransa, François Hollande amemuonya rais wa hivi sasa nchi hiyo Emmanuel Macron na kusema kuwa hapaswi kuwahusisha magaidi na dini ya Uislamu.
-
Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni
Oct 31, 2020 00:30Mshauri wa masuala ya historia wa Rais wa Algeria amefichua jinai ambazo Ufaransa ilitenda nchini humo katika enzi za ukoloni.