Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Polisi wa Ufaransa waimarisha mgomo wao

    Polisi wa Ufaransa waimarisha mgomo wao

    Feb 08, 2020 04:20

    Polisi wa kitengo cha 'teknolojia na elimu' nchini Ufaransa wameimarisha mgomo wao sawa na wafanyakazi wengine wa serikali katika kupinga mabadiliko ya sheria ya ustaafu nchini humo.

  • Ombi la Rais wa Ufaransa la kuangamizwa silaha za nyuklia

    Ombi la Rais wa Ufaransa la kuangamizwa silaha za nyuklia

    Feb 08, 2020 04:02

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, jana Ijumaa alitangaza uamuzi wa nchi yake wa kupunguza idadi ya silaha zake za nyuklia hadi chini ya vichwa 300 vya nyuklia.

  • Ufaransa yaendea kuingilia mambo ya ndani ya Afrika, yatuma mamia ya askari eneo la Sahel

    Ufaransa yaendea kuingilia mambo ya ndani ya Afrika, yatuma mamia ya askari eneo la Sahel

    Feb 02, 2020 10:16

    Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi hiyo itatuma wanajeshi wengine 600 katika eneo la Sahel barani Afrika, hatua ambayo imetajwa na wafuatiliaji wa mambo kuwa ni katika kuendeleza sera za mkoloni huyo wa zamani za kuzidisha ushawishi na satua yake barani humo.

  • Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran

    Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran

    Jan 30, 2020 22:52

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Mei mwaka 2018 alichukua uamuzi wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo ya kimataifa, hatua ambayo ilikwenda sambamba na kuiwekea Iran mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa.

  • Rais Macron wa Ufaransa arushiana maneneo makali na polisi wa Israel mjini Quds

    Rais Macron wa Ufaransa arushiana maneneo makali na polisi wa Israel mjini Quds

    Jan 23, 2020 08:01

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambaye yuko safarini katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amerushuiana maneno makali na polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Quds (Jerusalem).

  • Ukosoaji mkubwa wa kuendelea ukandamizaji dhidi ya harakati za 'Vizibao vya Njano' nchini Ufaransa

    Ukosoaji mkubwa wa kuendelea ukandamizaji dhidi ya harakati za 'Vizibao vya Njano' nchini Ufaransa

    Jan 20, 2020 09:36

    Hatua za ukandamizaji wa polisi wa Ufaransa dhidi ya waandamanaji wanaopinga mfumo wa kibepari, zimekabiliwa na ukosoaji mkali.

  • Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu

    Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu "Ghuba ya Uajemi"

    Jan 19, 2020 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa somo la jiografia na kumkosoa kwa kupotosha historia.

  • Mamia ya magari yaliteketezwa moto nchini Ufaransa katika mkesha wa mwaka mpya

    Mamia ya magari yaliteketezwa moto nchini Ufaransa katika mkesha wa mwaka mpya

    Jan 02, 2020 10:19

    Viongozi wa serikali ya Ufaransa wametangaza kwamba mkesha wa mwaka mpya 2020 uligubikwa na machafuko makubwa ambapo mamia ya magari yaliteketezwa moto.

  • Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Dec 24, 2019 23:26

    Baada ya mashauriano yaliyodumu kwa muda mrefu, hatimaye nchi nane kati ya 15 wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc) na kutangaza kwamba, kuanzia sasa zitaanza kufanya miamala yao yote kwa kutumia sarafu ya Eco ili zisalimike madhara ya kifedha yaliyokuwa yakisababishwa na sarafu ya Franc.

  • Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Dec 23, 2019 09:17

    Mienendo ya nchi za Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima uimekuwa ya kikoloni na kuwanyonya watu wa bara hilo na wakati huo huo kukandamiza harakati za wapigania uhuru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS