-
Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran
May 28, 2019 03:34Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Paris Ufaransa amesema kuwa, silaha za nyuklia kamwe hazijawahi kuwemo kenye ajenda ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA
May 22, 2019 05:18Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.
-
Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe
May 22, 2019 03:46Viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa wamesisitizia haja ya kubakishwa hai na kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, huku wakibainisha kuwa nchi zao zinafanya kila linalowezekana kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, licha ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.
-
Uingereza, Ujerumani: Ulaya inafanya juhudi za kutekeleza mfumo wa INSTEX
May 11, 2019 03:26Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimesema zinafanya juu chini kuhakikisha kuwa mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX) unaanza kufanya kazi.
-
Tripoli yatishia kuyafutia leseni mashirika ya kigeni nchini Libya
May 10, 2019 21:48Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya (GNA) yenye makao yake Tripoli na ambayo inaungwa mkono na jamii ya kimataifa imetishia kuyapokonya leseni mashirika 40 ajinabi likiwemo shirika la mafuta la Ufaransa Total yanayohudumu nchini humo.
-
Ufaransa yatahadharisha juu ya matokeo mabaya ya vita vya kibiashara kati ya Marekani na China
May 10, 2019 21:47Waziri wa Fedha wa Ufaransa ametahadharisha juu ya kushtadi vita vya kibiashara kati ya Marekani na China na kuongeza kuwa, vita hivyo ni tishio kubwa kwa ustawi wa dunia nzima.
-
Amnesty: Ufaransa haiaminiki tena kwa kuendelea kuiuzia silaha Saudia
May 10, 2019 09:09Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Ufaransa isitishe uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen, likisisitiza kuwa serikali ya Paris haiaminiki tena kwa madai yake kwamba silaha hizo hazitumiki dhidi ya raia.
-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Jumapili, 5 Mei 2019
May 04, 2019 21:59Leo ni Jumapili tarehe 29 Sha'aban 1440 Hijiria sawa na tarehe tano Mei 2019 Miladia.
-
Idadi ya askari wanaojiua nchini Ufaransa yaongezeka
May 03, 2019 00:05Duru za habari nchini Ufaransa zimeripoti habari ya ongezeko la idadi ya askari wanaojiua nchini humo.