-
Ufaransa yataka kusimamishwa mpango wa makombora wa Iran
Mar 08, 2018 12:29Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema anachukua hatua kadhaa kwa lengo la kuhakikisha mpango wa makombora ya balisitiki wa Iran unasimamishwa.
-
Rais wa Ufaransa ampinga Trump, ataka Beitul-Muqaddas itambuliwe kuwa mji mkuu wa Palestina
Mar 08, 2018 01:03Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa, umewadia wakati sasa wa Beitul-Muqaddas kutambuliwa kuwa mji mkuu wa Palestina.
-
Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika
Mar 05, 2018 23:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pande zote husika zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatasambaratika, katika hali ambayo Marekani inafanya jitihada za kuyafelisha mapatano hayo na kutoa vitisho vya kujiondoa kwenye makubaliano hayo kila mara.
-
Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga
Mar 05, 2018 03:54Leo Iran ni mwenyeji wa Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ambaye amewasili mapema leo alfajiri katika mji mkuu, Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Iran.
-
Rouhani: Marekani imekuwa ikivuruga utekelezwaji mapatano ya nyuklia
Mar 05, 2018 02:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iran inafungamana na ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA,' lakini la kusikitisha ni kuwa Marekani daima imekuwa ikiweka vizingiti katika utekelezwaji wa mapatano haya ya kimataifa."
-
Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 04, 2018 13:10Viongozi wa Ufaransa wamesisitiza tena misimamo yao juu ya kuyalinda na kuyaheshimu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Jumapili 18 Februari, 2018
Feb 18, 2018 01:31Leo ni Jumapili tarehe Mosi Jamadi tha-Thani 1439 Hijiria, mwafaka na tarehe 18 Februari mwaka 2018 Miladia.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika
Feb 03, 2018 23:11Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari huko Tunisia na Senegal na kufanya mashauriano na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbili hizo kuhusu masuala mbalimbali kama kuzidisha ushirikiano wa pande mbili, mapambano dhidi ya ugaidi na masuala yanayohusiana na Libya.
-
Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika
Jan 27, 2018 04:33Vikosi vya usalama vya Ufaransa vimekuwa vikiwabagua Waislamu na raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za vikosi hivyo za kuwabagua raia wa nchi hiyo ya barani Ulaya.
-
Qassemi: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu miradi yake ya makombora
Jan 22, 2018 11:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haijafanya na haitafanya mazungumzo na nchi yoyote ile kuhusiana na mpango wake wa makombora.