-
Malalamiko ya wanaharakati wa taasisi za kiraia za Kongo DR dhidi ya serikali ya Ufaransa
Jan 22, 2018 09:33Wanaharakati wa makundi ya kiraia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha malalamiko yao wakipinga siasa zinazotekelezwa na serikali ya Ufaransa kuhusu nchi yao.
-
Jumapili, Januari 21, 2018
Jan 20, 2018 23:42Leo ni Jumapili tarehe 3 Jamadul-Awwal mwaka 1439 Hijria sawa na tarehe 21Januari 2018 Miladia.
-
Mahakama ya Ufaransa yawaachia huru askari waliowanajisi watoto Bangui
Jan 17, 2018 04:53Mahakama moja nchini Ufaransa imetangaza kuhitimisha faili la tuhuma za askari wa nchi hiyo waliowanajisi watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa madai ya kutokuwepo ushahidi wa kutosha.
-
Equatorial Guinea yasema jaribio la mapinduzi lilipangwa Ufaransa
Jan 11, 2018 04:10Serikali ya Equatorial Guinea imesema jaribio la mapinduzi lililofeli mwishoni mwa mwaka uliomalizika wa 2017 liliratibiwa ndani ya ardhi ya Ufaransa.
-
HRW: Marekani, Uingereza na Ufaransa zisitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia
Jan 08, 2018 04:32Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch amezitaka Marekani, Uingereza na Ufaransa ziache kuiuzia silaha Saudi Arabia.
-
Erdogan: Uturuki imechoka kusubiri kujumuishwa EU
Jan 06, 2018 04:13Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Waturuki wamechoka kusubiri kujua iwapo nchi yao itajumuishwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya au la.
-
Macron: Vitisho vya US, Israel na Saudia dhidi ya Iran ni njia ya vita
Jan 04, 2018 04:23Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametaka kulindwa njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Macron aitaka Saudi Arabia isitishe mzingiro huko Yemen
Dec 27, 2017 12:10Rais wa Ufaransa amemtaka mfalme wa Saudi Arabia asitishe mzingiro wa nchi yake dhidi ya Yemen.
-
Jumapili, Disemba 24, 2017
Dec 23, 2017 23:58Leo ni Jumapili tarehe 5 Rabiuthani 1439 Hijria sawa na Disemba 24 , 2017
-
Macron: Ufaransa ipo tayari kuimarisha uwepo wake kijeshi katika eneo la Sahel
Dec 23, 2017 23:55Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa nchi yake ipo tayari kuimarisha uwepo wake kijeshi katika eneo la Sahel barani Afrika ili kushirikiana na vikosi vya Kiafrika katika mapambano dhidi ya wanamgambo wenye misimamo mikali katika eneo hilo.