-
Onyo la UN kuhusu ongezeko la vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya
Jul 06, 2024 02:36Volker Turk, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, alionya Jumatano wiki hii kuhusu kuibuka kwa vyama vya mrengo wa kulia vyenye misimamo ya kufurutu mipaka barani Ulaya na kuhatarishwa haki za wahamiaji na wakimbizi.
-
Chama cha Macron chapigwa mweleka katika uchaguzi wa Bunge Ufaransa
Jul 01, 2024 05:49Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza matokeo ya awali ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge nchini humo ambapo chama cha "French National Communist Party" kimepata viti vingi na kuushinda muungano wa vyama unaoongozwa na rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron.
-
Niger yaifutia leseni kampuni ya fueli nyuklia ya Ufaransa
Jun 21, 2024 07:44Niger imebatilisha kibali cha kuliruhusu shirika moja la nishati la Ufaransa kuendelea kuzalisha fueli nyuklia katika moja ya migodi mikubwa zaidi ya urani duniani.
-
Tehran yalaani taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa
Jun 11, 2024 07:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesema kuwa, yaliyomo katika taarifa ya chuki dhidi ya Iran iliyotolewa na marais wa Marekani na Ufaransa hayana msingi wowote bali yana malengo na misukumo ya kisiasa na ni mwendelezo wa siasa zilizoshindwa tangu zamani.
-
Bendera ya Palestina yapepea ndani ya Bunge la Ufaransa
May 29, 2024 06:41Bendera ya Palestina imepepea katika Bunge la Ufaransa.
-
UK, Ufaransa na Ujerumani zaonywa kwa kutuma ndege kuilinda Israel katika Operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 16, 2024 07:25Brigedia Jenerali Esmail Qa’ani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kwa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa baada ya nchi hizo tatu za Troika ya Ulaya kupeleka ndege zao za kivita kuulinda utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli iliyofanywa na Iran mwezi uliopita wa Aprili.
-
Tahadhari kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria
May 12, 2024 02:35Msemaji wa kundi la viongozi wa kaskazini mwa Nigeria amemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu madhara hatari ya kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria.
-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mjini Paris
May 02, 2024 07:26Polisi wa kutuliza ghasia wa Ufaransa jana walikabiliana kwa mabavu na washiriki wa maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yafanyika mjini Paris
Apr 22, 2024 06:18Baada ya mabishano mengi na ruhusa iliyotolewa na mahakama ya kiidara ya Ufaransa, maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yamefanyika huko Paris, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Ufaransa, Misri na Jordan zapinga shambulio la Rafah na kuunga mkono usitishaji vita Gaza
Apr 01, 2024 02:17Mkutano wa pande tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa Misri, Jordan na Ufaransa ulifanyika Jumamosi Cairo, mji mkuu wa Misri, kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika vita vya Gaza na mashauriano ya kusitisha mapigano hayo.