-
Bolivia yataka kufunguliwa mashtaka Netanyahu katika mahakama ya ICJ
Mar 03, 2024 04:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Bolivia ametoa wito wa kufunguliwa mashtaka Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Ijumaa, tarehe Mosi Machi, 2024
Mar 01, 2024 02:28Leo ni Ijumaa tarehe 20 Sha'ban 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Machi mwaka 2024.
-
Amir wa Qatar asisitiza ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2024 11:50Amir wa Qatar amesisitiza kuwa kuna ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Ubaguzi, chuki zawalazimisha wanawake Waislamu kuhama Ufaransa
Feb 17, 2024 11:33Kuongezeka chuki katika ngazi za kisiasa na kijamii dhidi ya wanawake Waislamu hasa wanaovalia hijabu na niqabu nchini Ufaransa kumepelekea idadi kubwa ya wanawake hao waihame nchi hiyo ya Ulaya.
-
Ujumbe wa Bunge la Ufaransa: Israel inataka kuwaangamiza wakazi wote wa Gaza
Feb 09, 2024 07:46Ujumbe wa Bunge la Ufaransa umetangaza kuwa, Israel sio tu kwamba inataka kuiangamiza Hamas, bali pia kuwaangamiza wakazi wote wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Biden aboronga tena, mara hii adai alikutana karibuni na Rais wa Ufaransa aliyefariki dunia 1996
Feb 07, 2024 03:48Rais Joe Biden wa Marekani ameboronga tena kwa kumchukulia Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuwa ni rais wa zamani wa nchi hiyo marehemu Francois Mitterrand, alipokuwa akielezea yaliyojiri katika mkutano wa 2021 wa G7 wakati wa kampeni za uchaguzi mwishoni mwa juma.
-
Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi
Jan 31, 2024 10:51Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.
-
Ufaransa 'yaogopa' kujiunga na US, UK katika hujuma dhidi ya Yemen
Jan 13, 2024 11:49Serikali ya Ufaransa imekataa kusaini taarifa ya kuunga mkono mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen, na kusisitiza kuwa haitashiriki katika hujuma hizo eti za kulinda safari za meli katika Bahari Nyekundu.
-
Waziri Mkuu mpya 'shoga' wa Ufaransa amteua 'mume wake shoga' kuwa waziri wa mambo ya nje
Jan 12, 2024 07:01Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni 'shoga' amemteua 'mume wake shoga' Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
-
Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jan 08, 2024 12:11Katika kuendeleza misimamo inayozusha mizozo ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amepuuza jinai zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kukomesha vitendo vyake vinavyovurunga amani na uthabiti wa eneo.