-
Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jan 08, 2024 12:11Katika kuendeleza misimamo inayozusha mizozo ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amepuuza jinai zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kukomesha vitendo vyake vinavyovurunga amani na uthabiti wa eneo.
-
Kiongozi wa upinzani nchini Ufaransa atoa wito wa kuvunjwa shirika la kijeshi la NATO
Jan 07, 2024 12:13Kiongozi wa chama cha Wazalendo (Patriots Party) nchini Ufaransa ametoa wito wa kuvunjwa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi la NATO ili amani iweze kudhihiri duniani.
-
Umoja wa Mayahudi wa Ufaransa kwa ajili ya Amani: Israel 'inauua Uyahudi'
Jan 07, 2024 09:38Umoja wa Mayahudi wa Ufaransa kwa ajili ya Amani (The French Jewish Union for Peace) UJFP umeishutumu Israel kwa "kuua Uyahudi" kutokana na mashambulizi yake ya kikatili unayofanya katika Ukanda Gaza na kueleza kwamba vyombo vya habari vya Israel vinapata burudani kwa mateso wanayopata Wapalestina.
-
Kufungwa ubalozi wa Ufaransa nchini Niger
Jan 04, 2024 04:41Hatimaye ubalozi wa Ufaransa umefungwa rasmi nchini Niger miezi kadhaa baada ya kufanyika marekebisho ya kisiasa na Baraza la Kijeshi kuchukua uongozi wa nchi, ambapo lilisisitiza kuondoka vikosi vya kijeshi na kukomeshwa satwa ya Ufaransa katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Waniger washerehekea kufikia tamati uwepo wa askari wa Ufaransa nchini humo+VIDEO
Dec 30, 2023 11:16Wananchi wa matabaka mbalimbali nchini Niger wamefanya sherehe maalumu ya kufurahia kufikia tamati uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia
Dec 25, 2023 05:52Marekani imetangaza kuunda Muungano wa Baharini ikiwa ni katika jitihada zake za kuendelea kuutetea kwa hali na mali utawala ghasibu wa Israel katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kukabiliana na mashambulizi ya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina.
-
Wanasiasa wataka kufunguliwa mashitaka Wafaransa waliojiunga na jeshi la Israel kuua raia Gaza
Dec 23, 2023 11:59Katika kashfa mpya ambayo inaendelea kutikisa misingi ya jamii ya Ufaransa na sambamba misimamo ya inayobadilika badilika ya serikali ya Paris kuhusu mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza, mbunge Thomas Portes wa chama cha "Fahari ya Ufaransa" amefichua uwepo wa Wafaransa 4,185 katika safu za jeshi la Israel linaloendelea kuua raia wa Palestina hususan wanawake na watoto wa Gaza.
-
Mwisho wa kuwepo kijeshi Ufaransa nchini Niger, ushindi kwa Waniger
Dec 23, 2023 06:39Kuwepo kijeshi Ufaransa nchini Niger kumemalizika kwa kuondoka kundi la mwisho la wanajeshi wa nchi hiyo huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Ufaransa kufunga ubalozi wake nchini Niger
Dec 22, 2023 07:56Wanadiplomasia wa Ufaransa wameeleza kuwa nchi hiyo imechukua uamuzi wa kufunga ubalozi wake huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Niger: Askari wote wa Ufaransa wawe wameondoka nchini ndani ya siku 10
Dec 13, 2023 11:16Jeshi la Niger limetangaza kuwa, askari wote wa Ufaransa walioko nchini humo watakuwa wameondoka kikamilifu katika ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufikia Disemba 22.