-
Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi
Nov 22, 2023 10:40Jamii za Wamagharibi, khususan zile zilizoendelea na zinazodai kutetea ubinadamu za Ulaya, zina sura nyingine isiyoonekana waziwazi kwa watu wengi.
-
Waalgeria wasusia bidhaa za Ufaransa wakiwatetea Wapalestina
Nov 12, 2023 12:29Uhalifu na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Gaza kwa msaada wa nchi za Magharibi zimewafanya wananchi katika nchi mbalimbali wasusie bidhaa zinazozalishwa katika nchi za Ulaya na Marekani.
-
Maandamano ya kulaani jinai za Israel yafanyika Paris, Ufaransa
Oct 24, 2023 13:53Maelfu kwa maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa ikipindukia 5,000.
-
Ufaransa yaanza kuondoa wanajeshi wake Niger
Oct 10, 2023 13:36Ufaransa imeanza zoezi la kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger, baada ya kutimuliwa na baraza la kijeshi linalotawala nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Baraza la Kijeshi Niger: Kituo cha kijeshi cha Ufaransa kitavunjwa mwisho wa mwaka huu
Oct 05, 2023 13:46Baraza la kijeshi la Niger limetangaza katika taarifa kwamba kituo cha kijeshi cha Ufaransa kilichoko katika mji mkuu Niamey, ambako ndiko waliko wanajeshi wengi wa Ufaransa kitavunjwa ifikapo mwisho wa mwaka huu wa 2023.
-
Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji
Sep 30, 2023 15:46Raia wa Niger wamelishambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji kwa ajili ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini humo kinyume cha sheria.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa hatua mpya ya Ufaransa dhidi ya hijabu ya Kiislamu
Sep 29, 2023 08:17Marta Hurtado, Msemaji wa Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, Jumatano alikosoa marufuku ya uvaaji hijabu kwa wanariadha wa Ufaransa katika michezo ya Olimpiki ya 2024, ambayo imepangwa kufanyika Paris mwaka ujao.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa "marufuku ya hijabu" katika Michezo ya Olimpiki 2024
Sep 27, 2023 16:25Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imekosoa uamuzi wa serikali ya Ufaransa "kupiga marufuku vazi la hijabu kwa wanariadha wa Ufaransa" katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka ujao inayoandaliwa na Paris.
-
Kusalimu amri Ufaransa mbele ya takwa la Niger
Sep 26, 2023 10:32Hatimaye, baada ya wiki kadha za vuta nikuvute, Ufaransa imesalimu amri mbele ya takwa la Niger na kutangaza kwamba, balozi wa Ufaransa nchini Niger, Sylvian Itte, atarejea Paris katika saa chache zijazo.
-
Ufaransa yakumbwa na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
Sep 25, 2023 04:59Maelfu ya wananchi wa Ufaransa jana Jumapili waliandamana katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu Paris na katika miji mingine nchini humo wakilalamikia ubaguzi wa rangi wa kimfumo unaoendelea kushuhudiwa nchini humo.