-
Tishio la ufyatuaji risasi lapelekea kufungwa shule 19 nchini Marekani
Apr 17, 2019 07:30Kufuatia tishio la kufyatua risasi shuleni, polisi ya Marekani imetangaza hali ya hatari katika shule 19 za jimbo la Colorado
-
Wakili wa "chinjachinja" wa Bosnia auawa kwa kupigwa risasi
Jul 30, 2018 08:15Wakili aliyekuwa akimtetea Rais wa zamani wa Bosnia katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) katika kesi ya kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Belgrade.
-
Wamarekani waendelea kuuana, watu 71 wauawa kwa kupigwa risasi
Jul 30, 2018 04:40Kituo cha kuorodhesha takwimu za matukio ya ukatili wa utumiaji silaha za moto nchini Marekani, kimetangaza kwamba jumla ya watu 71 wameuawa kwa kupigwa risasi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Ufyatuaji risasi katika kituo cha gadi ya kitaifa ya Saudi Arabia
May 31, 2018 11:27Vyonzo vya habari vimetangaza kutokea ufyatuaji risasi katika mji wa Taif ulioko magharibi mwa Saudia Arabia. Ripoti zinasema kuwa watu wawili waliokuwa na silaha waliingia katika kituo cha gadi ya kitaifa kilichoko mjini hapo, baada ya kumshambulia askari usalama mmoja katika eneo hilo.
-
Marekani wazidi kutwangana risasi, 156 wauawa na kujeruhiwa masaa 48 yaliyopita
May 20, 2018 14:34Kituo cha kukusanya takwimu za mauaji na mashambulizi ya kutumia silaha nchini Marekani kimetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa watu 156 katika kona mbalimbali za nchi hiyo inayojigamba kuwa na usalama mkubwa katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita.
-
Mwanafunzi aua kwa kuwapiga risasi watu 10 katika shambulio dhidi ya skuli Texas, Marekani
May 19, 2018 08:10Wanafunzi tisa na mwalimu wao wameuawa na wengine kumi wamejeruhiwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea kwenye skuli ya Sante Fe iliyoko kwenye jimbo la Texas nchini Marekani.
-
Habari za kutatanisha zagubika tukio la milio ya risasi iliyosikika karibu na kasri la Mfalme wa Saudia
Apr 22, 2018 07:59Baada ya kimya cha saa kadhaa cha maafisa na vyombo vya habari vya Saudi Arabia kuhusu milio mingi ya risasi iliyosikika jana usiku katika mji mkuu Riyadh, shirika rasmi la habari la nchi hiyo limedai kuwa ufyatuaji huo wa risasi uliotokea ulisababishwa na droni ndogo bandia iliyokuwa ikipaa karibu na kasri la mfalme wa nchi hiyo.
-
Sauti za risasi zasikika karibu na Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 09, 2018 04:46Duru za usalama za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimetangaza habari ya kutokea mapigano baina ya watu wenye silaha na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa karibu na Ikulu ya Rais mjini Bangui.
-
Watu kadhaa wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 21, 2018 07:43Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameripoti kuwa watu wawili wameuawa na wawili wengine kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea baina ya watu wenye silaha kusini mwa nchi hiyo.
-
Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu
Feb 22, 2018 04:36Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.