-
Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif
Nov 10, 2018 07:50Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 katika miji ya Washington na New York huko Marekani, Rais wa wakati huo wa nchi hiyo, George W. Bush aliwanyooshea kidole cha tuhuma Waislamu na kuiarifisha Marekani kuwa ni mbeba bendera ya kupambana na ugaidi.
-
Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani
Nov 08, 2018 04:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ugaidi ungali upo kote ulimwenguni na ni jambo la hatari kwa nchi zote licha ya mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo.
-
BBC: Timu ya mauaji yenye watu 50 ya Saudia ilihusika katika mauaji ya Khashoggi na wengineo
Nov 08, 2018 01:18Ripoti iliyotayarishwa na Idhaa ya Kiarabu ya BBC imefuichua kwamba, timu ya mauaji ya Wasaudia 50 iliundwa msimu wa joto uliopita kuwaangamiza wapinzani ndani na nje ya Saudi Arabia.
-
Uturuki: Timu ya mauaji ya Khashoggi imefanya mauaji kama hayo huko nyuma
Nov 02, 2018 12:54Vyombo vya Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki vimefuichua kuwa, Ankara ina ushahidi unaothibitisha kuwa, timu ya mauaji ya Saudi Arabia iliyoshiriki katika mauaji ya kigaidi dhidi ya mwandishi na mkosoaji wa serikali ya kifalme ya nchi hiyo, Jamal Khashoggi mjini Istanbul yapata mwezi mmoja uliopita, iliwahi kufanya mauaji kadhaa kama hayo hapo kabla.
-
Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa
Oct 31, 2018 12:14Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa kuongezeka vitendo vya kigaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Tripoli, linatia wasiwasi mkubwa.
-
Zarif: Misimamo mikali na ugaidi havina dini wala taifa
Oct 29, 2018 11:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekemea vikali shambulizi la kigaidi lililolenga hekalu la Kiyahudi la Tree of Life huko Pittsburgh, katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani na kusisitiza kuwa, ukatili na ugaidi havina dini wala mbari na vinapaswa kulaani kwa hali yoyote ile.
-
Waislamu Marekani waendesha mchango wa kuwasaidia Mayahudi waliouliwa kigaidi na Mkristo Robert Bowers
Oct 29, 2018 10:57Jumuiya ya Waislamu wa Marekani imefanikiwa kukusanya mchango wa makumi ya maelfu ya dola katika juhudi zao za kuwasaidia wahanga wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika hekalu la Kiyahudi la mjini Pittsburgh na kuua watu 11 na kujeruhi wengine sita.
-
Jamii ya kimataifa yazidisha mashinikizo dhidi ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 26, 2018 01:19Jamii ya kimataifa imezidisha mashinikizo dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ambao umekiri kwamba maafisa wake walimuua mwandishi na mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi zaidi ya wiki mbili zilizopita mjini Istanbul, Uturuki.
-
Balozi: Wamagharibi wameipa Saudia kinga ya kufanya inachotaka
Oct 12, 2018 04:18Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London amesema utawala wa Aal-Saud umepewa kinga kamili na nchi za Magharibi ya kufanya unalotataka, na ndiposa hautaki hata kukosolewa juu ya mwenendo wake wa kueneza ugaidi na kukiuka haki za binadamu.
-
FATF yakataa uanachama wa Saudia, Riyadh bado inafadhili ugaidi
Oct 01, 2018 23:41Saudi Arabia imekataliwa uanachama kamili katika Shirikisho la Kupambana na Fedha Chafu na Ufadhili wa Makundi ya Kigaidi (FATF), ambayo ni bodi ya kimataifa ya kupambana na fedha chafu na ufadhili wa kifedha wa makundi ya kigaidi.