Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi

    Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi

    Oct 28, 2017 04:36

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wanawake ndio wahanga wakuu wa ukatili wa makundi ya kigaidi duniani.

  • Watu saba wauawa katika hujuma ya kigaidi karibu na Mogadishu, Somalia

    Watu saba wauawa katika hujuma ya kigaidi karibu na Mogadishu, Somalia

    Oct 22, 2017 10:25

    Watu wasiopungua saba, wengi wakiwa wanawake wakulima, wameuawa karibu na mji mkuu wa Somalia kufuatia hujuma ya kigaidi huku mji huo ukiwa bado unaomboleza shambulizi la hivi karibuni lililoua mamia ya watu.

  • Magaidi wavunja benki na kushambulia kanisa Misri, 7 wauawa

    Magaidi wavunja benki na kushambulia kanisa Misri, 7 wauawa

    Oct 16, 2017 10:28

    Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya genge moja la kigaidi kuvamia benki na kuiba, sambamba na kushambulia kanisa katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.

  • Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Oct 11, 2017 23:16

    Sambamba na ushindi wa kila siku wa jeshi la Iraq na makundi ya kujitolea ya wananchi katika mapambano ya kuliangamiza kundi la kigaidi la ِِِDaesh na kusafisha kabisa maeneo yote ya nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza kuwa, kundi hilo litashindwa kikamilifu hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • Makumi ya watu wenye silaha waangamizwa Algeria

    Makumi ya watu wenye silaha waangamizwa Algeria

    Oct 10, 2017 04:41

    Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa nchi hiyo wameua magaidi 86 kwenye maeneo tofauti ya nchi hiyo katika kipindi cha miezi minane ya kwanza ya mwaka huu.

  • "Sera kuu ya Iran ni kupambana na ugaidi, kutekeleza JCPOA na kuimarisha uhusiano na EU"

    Oct 04, 2017 01:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatoa kipaumbele kwa kadhia ya kupambana na ugaidi pamoja na kudumisha makubaliano ya kihistoria ya nyuklia yanayojulikana kama JCPOA.

  • FBI: Aliyefanya mauaji ya Las Vegas hana uhusiano na magenge ya kigaidi

    FBI: Aliyefanya mauaji ya Las Vegas hana uhusiano na magenge ya kigaidi

    Oct 03, 2017 04:39

    Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imesema Stephen Paddock, ambaye alitekeleza mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la Las Vegas nchini humo hana uhusiano wowote na magenge ya kigaidi.

  • Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Sep 26, 2017 04:12

    Venezuela imesema Marekani inaendeleza kile ilichokitaja 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.

  • Umoja wa Mataifa wataka kustawishwa eneo la Ziwa Chad

    Umoja wa Mataifa wataka kustawishwa eneo la Ziwa Chad

    Sep 23, 2017 08:50

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuzingatiwa ustawi wa eneo la ziwa Chad kwa ajili ya kupambana vyema na vitendo vya uchupaji mipaka na ugaidi kufuatia kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo katika eneo hilo.

  • Italia yasisitiza ulazima wa Libya kuwa na amani ili kupambana na ugaidi katika eneo

    Italia yasisitiza ulazima wa Libya kuwa na amani ili kupambana na ugaidi katika eneo

    Sep 05, 2017 02:31

    Italia imesema kuna ulazima kwa nchi ya Libya kuwa na uthabiti ili kuzuia ugaidi na kuendesha mapambano dhidi ya tishio hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS