Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Hizbullah: Tutaendelea kuweko Syria hadi hatari ya magaidi itakapoondoka

    Hizbullah: Tutaendelea kuweko Syria hadi hatari ya magaidi itakapoondoka

    Sep 04, 2017 22:05

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya mapambano ya Kiislamu ambayo iko Syria kwa ombi la serikali ya nchi hiyo, itabakia nchini humo hadi pale hatari ya ugaidi itakapoondoka.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1

    Sep 02, 2017 10:20

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.

  • Maficho kadhaa ya magaidi yasambaratishwa nchini Algeria

    Maficho kadhaa ya magaidi yasambaratishwa nchini Algeria

    Aug 26, 2017 22:10

    Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuangamizwa maficho kadhaa ya magaidi kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Russia: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima

    Russia: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima

    Aug 25, 2017 09:14

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, hatari ya ugaidi nchini Syria ni tishio kwa ulimwengu mzima na kuongeza kwamba, hali ya sasa haihusiani na nchi hiyo ya Kiarabu pekee, bali inajumuisha dunia nzima.

  • Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa

    Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa

    Aug 21, 2017 22:52

    Polisi ya Uhispania imemuua Younes Abouyaaqoub aliyetekeza shambulio la kigaidi la Alkhamisi wiki iliyopita katika mji wa Barcelona.

  • Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri

    Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri

    Aug 20, 2017 21:50

    Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.

  • Rais wa Algeria: Dunia nzima ishikamane kung'oa mizizi ya ugaidi

    Rais wa Algeria: Dunia nzima ishikamane kung'oa mizizi ya ugaidi

    Aug 19, 2017 10:21

    Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ametoa wito kwa nchi zote duniani kushikamana kwa ajili ya kung'oa mizizi ya ugaidi.

  • Dakta Zarif: Ugaidi si nembo ya dini wala kaumu yoyote ile

    Dakta Zarif: Ugaidi si nembo ya dini wala kaumu yoyote ile

    Aug 19, 2017 02:29

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali utendaji wa kindumakuwili wa baadhi ya mataifa kuhusiana na ugaidi.

  • Shambulio la kigaidi nchini Burkina Faso

    Shambulio la kigaidi nchini Burkina Faso

    Aug 14, 2017 07:00

    Serikali ya Burkina Fasso imetangaza kuwa, zaidi ya watu 18 wameuawa na wengine 8 kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo Ouagadougou.

  • Niger yatoa mwito kwa jamii ya kimataifa kusaidia mapambano dhidi ya ugaidi

    Niger yatoa mwito kwa jamii ya kimataifa kusaidia mapambano dhidi ya ugaidi

    Aug 05, 2017 22:41

    Rais wa Niger ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa akitaka kuungwa mkono haraka iwezekanavyo mapambano dhidi ya ugaidi katika eneo la Sahel barani Afrika. Rais wa Niger ametoa ombi hilo katika maadhimisho ya mwaka 57 wa uhuru wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS