-
Syria yapongeza mchango wa Iran, Russia, Hizbullah katika vita dhidi ya ugaidi
Jul 14, 2017 03:14Waziri wa Ulinzi wa Syria amepongeza msaada inaopata nchi yake kutoka Iran, Russia, na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Rouhani: Misimamo mikali na ugaidi ni hatari kwa dunia
Jul 12, 2017 10:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema misimamo mikali na ugaidi ni hatari kubwa kwa eneo la Mashariki ya Kati na dunia nzima.
-
Watu 19 wauawa katika hujuma ya kigaidi Nigeria
Jul 12, 2017 09:58Watu 19 wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa kufuatilia milipuko kadhaa ya mabomu iliyotokea kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Algeria: Mitandao ya magendo ya binaadamu inatishia usalama wa nchi zote za Afrika
Jul 11, 2017 03:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, mitandao ya magendo ya binaadamu inatishia usalama na amani ya nchi zote duniani.
-
Viongozi wa Kiislamu Ulaya waanza safari ya kulaani ugaidi
Jul 08, 2017 22:22Makumi ya viongozi wa kidini na maimamu wa Swala za jamaa barani Ulaya wameanza safari ya kutembelea nchi kadhaa za bara hilo wakitokea mtaa mashuhuri wa Champs-Elysees mjini Paris. Viongozi hao wa kidini watatembelea maeneo yaliyokumbwa na mashambulizi ya kigaidi katika miezi ya hivi karibuni.
-
Kukombolewa Benghazi, Khalifa Haftar azidi kujiimarisha
Jul 07, 2017 22:20Kukombolewa Benghazi, mji wa pili kwa ukubwa wa Libya ambao umekuwa ukikaliwa na makundi ya kigaidi kwa kipindi cha miaka mitatu kumetajwa kuwa huenda kukaimarisha zaidi nafasi na Jenerali Khalifa Haftar na kumkurubisha zaidi kwenye udhibiti na madaraka ya Libya.
-
Hamaki za Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia baada ya kukwama siasa zao dhidi ya Qatar
Jul 07, 2017 01:33Adil al Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia ameshindwa kuzuia hamaki zake baada ya Qatar kukataa masharti ya nchi nne za Saudi Arabia, Bahrain, Misri na Imarati na amedai mbele ya waandishi wa habari mjini Cairo Misri kwamba eti uuganji mkono wa Iran kwa Qatar ni kuunga mkono ugaidi.
-
Al Shabab waua Polisi 2 katika hujuma huko Lamu, Kenya
Jul 05, 2017 10:08Maafisa wawili wa polisi nchini Kenya wameuawa baada ya magaidi wanaoaminika kuwa wa kundi la Al Shabab kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Pandanguo katika Kaunti ya Lamu.
-
Israel; hatari kuu ya ulimwengu wa Kiislamu
Jun 28, 2017 23:42Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndiyo hatari kuu kwa umma wa Kiislamu na kwamba kitendo cha baadhi ya nchi za Kiislamu cha kuwa na uhusiano na Israel ni hatari kubwa kwa Waislamu.
-
Amani ya kudumu hupatikana kwa ushirikiano si kwa misimamo ya Kidaesh
Jun 27, 2017 08:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, eneo la Ghuba ya Uajemi limekumbwa na matatizo mawili makuu ya kimuundo na kutojitambua. Amesema, baadhi ya nchi za eneo hili zinaona usalama wao utapatikana kwa kununua amani kutoka nje wakati ambapo usalama wa kweli unaweza kupatikana tu kwa ushirikiano wa kieneo na kupitia nchi zenyewe za eneo hili.