Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Watu 15 wauawa katika hujuma ya al-Shabab mjini Mogadishu, Somalia

    Watu 15 wauawa katika hujuma ya al-Shabab mjini Mogadishu, Somalia

    Jun 20, 2017 09:09

    Watu wasiopungua 15 wameuawa katika hujuma ya kigaidi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia huku kundi la kigaidi la al-Shabab likitangaza kuhusika na shambulizi hilo.

  • Kichapo cha makombora ya Iran kwa magaidi wa Daesh (ISIS) katika eneo la  Deir Ezzor, Syria

    Kichapo cha makombora ya Iran kwa magaidi wa Daesh (ISIS) katika eneo la Deir Ezzor, Syria

    Jun 20, 2017 01:49

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) Jumapili usiku lilishambulia kwa makombora sita ya masafa ya kati ya ardhini kwa ardhini kamandi ya kijeshi ya magaidi wa kitakfiri wa Daesh (ISIS) katika eneo la Deir Ezzor mashariki mwa Syria.

  • Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo

    Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo

    Jun 14, 2017 21:59

    Huku mivutano kati ya Moscow na Washington ikiwa imepamba moto, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, Marekani inawaunga mkono magaidi wa Chechniya huko Kaukazia Kaskazini na kuwatumia magaidi hao kuvuruga usalama na utilivu wa Russia. Rais Putin amesema Idara za Intelijensia za Marekani zimewapa misaada ya kiintelijensia, kisiasa, kifedha na kadhalika magaidi Chechniya licha ya malalamiko na upinzani wa Moscow.

  • Rouhani: Iran daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi

    Rouhani: Iran daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi

    Jun 13, 2017 23:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini, Iran ilikabiliana na wimbi la ugaidi na kupoteza maelfu ya mashahidi, na kwamba daima imekuwa mstari wa mbele kupambana na ugaidi.

  • Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera

    Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera

    Jun 12, 2017 21:56

    Maafisa wa usalama kusini mwa Iran wamefanikiwa kuwaangamzia magaidi wanne wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh sambamba na kunasa silaha walizokuwa nazo pamoja na bendera ya kundi hilo la kigaidi.

  • Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani

    Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani

    Jun 12, 2017 03:21

    Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Qatar amesema kuwa, nchi hiyo ililialika kundi la kigaidi la Taliban mjini Doha kutokana na takwa la Marekani ambayo leo, ikiwa pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu, inaituhuma Qatar kuwa inaunga mkono makundi yenye misimamo mikali.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kushindwa mfumo wa Ubeberu kuiteteresha irada ya taifa la Iran

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kushindwa mfumo wa Ubeberu kuiteteresha irada ya taifa la Iran

    Jun 09, 2017 11:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuhusiana na mashambulio ya kigaidi ya Tehran kuwa taifa la Iran linaendelea kusonga mbele na kwamba harakati za aina hiyo haziwezi kuathiri na kuteteresha irada na azma ya wananchi.

  • Wizara ya Mambo ya Ndani: Mashambulio ya kigaidi Tehran yamehatimishwa, watu 12 wameuawa

    Wizara ya Mambo ya Ndani: Mashambulio ya kigaidi Tehran yamehatimishwa, watu 12 wameuawa

    Jun 07, 2017 11:13

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya iran imetangaza kuwa, mashambulio mawili ya kigaidi yaliyotokea leo mjini Tehran yamehatimishwa na kwamba, kila kitu kiko chini ya udhibiti wa vikosi vya usalama.

  • Rais wa Sudan: Ugaidi hauna mafungamano yoyote na Uislamu

    Rais wa Sudan: Ugaidi hauna mafungamano yoyote na Uislamu

    Jun 04, 2017 02:53

    Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan amesema mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni katika nchi jirani ya Misri sawa na hujuma nyingine za kigaidi katika sehemu mbali mbali duniani hazina uhusiano wala mafungamano yoyote na dini ya Kiislamu.

  • Kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Chad

    Kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Chad

    Jun 02, 2017 03:08

    Hali ya kibinadamu nchini Chad na hasa magharibi mwa nchi hiyo katika bonde la Ziwa Chad imeripotiwa kuwa mbaya huku hofu ya kuongezeka idadi ya wahajiri na kumiminika wimbi jipya la wakimbizi katika eneo hilo ikitishia kuifanya hali hiyo iwe mbaya zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS