• Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi

    Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi

    May 29, 2017 09:22

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika eneo la Beqaa amesema kuwa, anashangazwa na Marekani kuutuhumu muqawama na ugaidi katika hali ambayo ni nchi hiyo ndiyo inayouunga mkono ugaidi wa utawala haramu wa Israel.

  • Kenya kutumia jeshi kutegua mabomu ya barabarani

    Kenya kutumia jeshi kutegua mabomu ya barabarani

    May 26, 2017 03:24

    Kenya imetuma wanajeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kwenda kutegua mabomu yaliyotegwa barabarani baada ya watu 20 wakiwemo maafisa 11 kuuawa katika miripuko ya barabarani kwenye eneo hilo.

  • Iran iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi

    Iran iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi

    May 25, 2017 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mashambulio ya kigaidi katika baadhi ya nchi za Ulaya na Afrika na kutangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi na misimamo ya kufurutu mpaka.

  • Madai ya waungaji mkono wa magaidi ya kupambana na vyanzo vya kifedha vya magaidi

    Madai ya waungaji mkono wa magaidi ya kupambana na vyanzo vya kifedha vya magaidi

    May 22, 2017 04:35

    Katika hali ambayo Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu, wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ndivyo vyanzo vikuu vya kifedha vya makundi ya kigaidi, jana Jumapili, nchi wanachama wa baraza hilo na Marekani zilikutana mjini Riyadh, Saudi Arabia na kutiliana saini hati ya maelewano kuhusiana na kuanzisha kituo maalumu cha kupambana na waungaji mkono wa kifedha wa makundi ya kigaidi.

  • Magaidi wa Al Shabab waua afisa wa utawala Kenya

    Magaidi wa Al Shabab waua afisa wa utawala Kenya

    May 16, 2017 09:43

    Watu wanaoaminika kuwa magaidi wa kundi la kigaidi la Al Shabab kutoka Somalia wameingia katika eneo la mpakani kaskazini mashariki mwa Kenya na kumuua afisa mmoja wa utawala nchini humo.

  • UN: Ubakaji unatumiwa kama mbinu ya ugaidi Somalia, Nigeria

    UN: Ubakaji unatumiwa kama mbinu ya ugaidi Somalia, Nigeria

    May 16, 2017 09:14

    Umoja wa Mataifa umesema uhalifu wa kijinsia unatumiwa na magaidi kama moja ya mbinu zao katika nchi za Somalia, Nigeria na Mali.

  • Iran yakamata magaidi na kunasa mada za milipuko

    Iran yakamata magaidi na kunasa mada za milipuko

    May 13, 2017 09:27

    Vikosi vya usalama Iran vimefanikiwa kusambaratisha kijikundi cha kigaidi ambacho kilikuwa kinapanga kutekeleza hujuma ndani ya nchi.

  • Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa

    Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa

    May 11, 2017 23:12

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia ameiuomba jamii ya kimataifa iisaidie nchi yake katika kupambana na ugaidi, ufisadi na umaskini wa kuchupa mipaka; mambo ambayo amesema ndiye adui mkuu wa nchi hiyo.

  • Sisitizo la Putin la kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi, misimamo mikali na unazi mambo leo

    Sisitizo la Putin la kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi, misimamo mikali na unazi mambo leo

    May 10, 2017 00:54

    Rais Vladimir Putin wa Russia alisema katika hotuba aliyoitoa jana Jumanne kwa mnasaba wa Siku ya Ushindi mjini Moscow kwamba kuna udharura kwa jamii ya kimataifa kusimama imara na kushirikiana kukabiliana na vitisho vinavyohatarisha usalama wa wote. Amesema, kuna udharura wa kuweko mapambano ya kweli dhidi ya ugaidi, misimamo mikali, unazi mambo leo na kila kitu kinachohatarisha usalama wa kimataifa. Aidha amesema, Moscow iko tayari kushirikiana na nchi yoyote ile katika jambo hilo.

  • Iran: Kauli ya Salman ni ithibati kuwa Saudia inaunga mkono ugaidi

    Iran: Kauli ya Salman ni ithibati kuwa Saudia inaunga mkono ugaidi

    May 03, 2017 23:33

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia ni dhihirisho tosha kuwa Riyadh inaunga mkono ugaidi na utawala huo wa kifalme umejengeka katika misingi ya sera haribifu.